Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Hadi umefikia kujitambua hivyo basi ujue tayari ushakomaa akili kimaisha kuwa Mke Mwema si umbo tu bali ni zaidi ya umbo[emoji3]
Acha kabisa mkuu...!! Mke kitu kinginee matakoo acha tuyachezee tuu... Mengi kichwani hakuna kituu pia wengi hujikuta hawana cha kupoteza kwenye mahusiano. Ogopa sana kudate na demu ambae Hana cha kupotezaa na wewe ndo unampenda kupita kiasi...
 
Sasa kama umenogewa na show zake kwa nini ulimruhusu kuolewa?si ungemfanya nyumba ndogo tu,yule dogo siku akigundua ni wewe ndipo vita itakapoanza.
 
Aisee pole,amua kusuka au kunyoa,halafu usisahau duniani hajawahi kutokea bingwa wa mapenzi,suleman mwenyewe alifeli.
FB_IMG_15544778133876478.jpeg
 
Nashukuru mkuu...!! Nilishafanyaga maamuzi mengi kwenye maisha yangu lakini Kutokumla yule manzi huwaga naona ni uamuzi mkubwa wa busara ever...
Ilinikutaga nami hiyo hiyo tena Mke wa rafiki yangu kabisa akanigongea mlango 00:00 hrs nimfungulie, bado sijakaa sawa kuchungulia ni nani nikijaribu kumfungulia ghafla tu aliingia haraka haraka hadi kitandani kwangu, kibaya zaidi alivaa kanga 1 tu laini iliyoonyesha chupi nyeupe na sidiria nyeupe huku chuchu saa 6.

Nilijigeukia ukutani nikikomaa kutomgonga lkn alinisumbua sana usiku kucha akitaka nimtafune akinikumbatia, mara aniwekee miguu yake juu yangu yani nilihangaika sana kufikia alfajiri nikiwa nimedindisha mashine usiku kucha.

Nilimshukuru sana Mungu kunipa hekima kutom****ba yule Ke maana rafiki yake alikuwa mlevi na wakati mwingine alale nnje daaah...!
 
Ilinikutaga nami hiyo hiyo tena Mke wa rafiki yangu kabisa akanigongea mlango 00:00 hrs nimfungulie, bado sijakaa sawa kuchungulia ni nani nikijaribu kumfungulia ghafla tu aliingia haraka haraka hadi kitandani kwangu, kibaya zaidi alivaa kanga 1 tu laini iliyoonyesha chupi nyeupe na sidiria nyeupe huku chuchu saa 6.

Nilijigeukia ukutani nikikomaa kutomgonga lkn alinisumbua sana usiku kucha akitaka nimtafune akinikumbatia, mara aniwekee miguu yake juu yangu yani nilihangaika sana kufikia alfajiri nikiwa nimedindisha mashine usiku kucha.

Nilimshukuru sana Mungu kunipa hekima kutom****ba yule Ke maana rafiki yake alikuwa mlevi na wakati mwingine alale nnje daaah...!
Duuh ulitishaa mzee..Hongeraa
 
Kabisa Chifu, yanatambuaga ujinga ambao huwa yanafichiwa na Mama zao, chukulia ingekuwa ni Baba Mzazi angethubutu kufanya huo upumbavu[emoji848]
Yani mpaka mama anajua binti anatombesha nje ya ndoa na anaruhusu kisa mwanae katishia kunywa sumu...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaee ningeenda kuwawashia moto familia nzima.....
 
Hao wanajikutaga wana hati miliki ya kuchepuka ngoja nianze na jinsia yetu
Duh [emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umejibu kama mwanamke aliyepo kwenye ndoa muda mrefu,ila jibu lako limenichekesha sana.
 
Yani mpaka mama anajua binti anatombesha nje ya ndoa na anaruhusu kisa mwanae katishia kunywa sumu...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaee ningeenda kuwawashia moto familia nzima.....
Hahaaa...naona umenikumbusha yule Mkurya Polisi aliyetokaga Sudan akawamiminia risasi Mama Mkwe, Mkewe/Mwandishi wa habari na yeye mwenyewe kujimalizia alipokuta pesa aliyokuwa akimtumia Ke wake wajenge Jumba lao yeye alienda kujenga kwao uchagani kwa Mama yake na Binti kinyume na makubaliano yao[emoji23][emoji28]
 
Na ndio maan nikifikilia kuota napata ukakasi ju ya hyo taasisi pendwa ulimwenguni na mbinguni
 
siku utahemewa wewe kisogoni we ona raha tu kumuhemea mke wa mtu
 
Tatizo linalokusumbua mkuu una mchepuko mmoja tu[emoji3][emoji3]
Ni jambo zuri kuwa na mchepuko mmoja,ila ni kosa kubwa sana kuwa na mchepuko mke wa mtu.
 
Harafu hizo kauli za kwamba wanaume wote wanachepuka mnafanya wake zetu watufikirie vibaya kila tukichelewa kurudi nyumbani.
 
Huyo mwanamke kiufupi hampendi mumewe ninachojiuliza tu alikubali vipi kuolewa naye, hivyo vituko huwezi kumfanyia mume wako unayempenda.

Na ww mkuu kuwa na maamuzi kama mwanaume au kama vipi achaneni na watu wenu muoane.
Presha za jamii zinafikisha watu kubaya kama hivi
 
Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya Ijumaa kuu.

Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nina hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.

Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015 akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.

Baada ya kurudi kwao,ndio nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.

Aisee kwanza sikutegemea kama ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.

Lkn ndo hivyo nimejikuta nipo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu na mimi wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!

Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndio akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,kama nipo tayari aolewe lkn nisimuache.

Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.

Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa Jumamosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema wewe tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.

Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.

Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya Jumamosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jumatano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana.

Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.

Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.

Maana mwanamke kwa sasa kawa kama mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mumewe ukimwambia njoo,hata kama alikuwa anapika ataacha kila kitu.

Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.

Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi.

Mfano juzi hakuenda kazini,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae demu alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini.

Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password.

Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha maana hata mke wangu alishahisi kama natembea naye.

Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??

Nawasilisha kwenu.
Ndugu yangu inakubidi ufanye toba,kwani umefanya kosa lilovuka mipaka,kwanza umejieleza wazi kwamba huyo mwanamke ameolewa,hivyo unajua analolifanya ni kosa kiimani na hata kiutamaduni kwa maisha ya kawaida ya mwanadamu,nakusihi uache kumbuka shetani akitaka kukutumia anakufanya uwe na kiburi na kutokuelewa,jiepushe mapema,kumbuka what comes around goes around.Siku njema.
 
Back
Top Bottom