Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya Ijumaa kuu.

Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nina hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.

Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015 akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.

Baada ya kurudi kwao,ndio nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.

Aisee kwanza sikutegemea kama ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.

Lkn ndo hivyo nimejikuta nipo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu na mimi wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!

Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndio akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,kama nipo tayari aolewe lkn nisimuache.

Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.

Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa Jumamosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema wewe tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.

Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.

Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya Jumamosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jumatano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana.

Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.

Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.

Maana mwanamke kwa sasa kawa kama mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mumewe ukimwambia njoo,hata kama alikuwa anapika ataacha kila kitu.

Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.

Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi.

Mfano juzi hakuenda kazini,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae demu alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini.

Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password.

Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha maana hata mke wangu alishahisi kama natembea naye.

Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??

Nawasilisha kwenu.
Kinachofuata utagegedewa na wewe mkeo au hata wewe mwenyewe, mke wa mtu sumu babu.
 
Yaani unamhurumia hawara, mumewe lakini umeacha kumhurumia mke, watoto na familia yako kwa ujumla? Seems ume-invest muda, mali na akili yako kwa huyo hawara, hadi kufikia kuwa na mawasiliano ya ukaribu na mama yake, wtf mkuu? You're above 40 for goodness sake!!

Una mkeo, hem' mpe heshima yake, wewe ni mtu mzima, kaka yetu kabisa, unatutia aibu, huna maamuzi thabiti kama baba na mume, tena mwenye mji wake. Unalala na mchumba siku ya harusi yake, unadhani ni ufahari lakini ni kukosa akili, man up n stop that rubbish, acha mawasiliano na mama yake, anakupotosha coz ameona wewe ni kiazi.

Mwisho, huyo mwanamke nae ni kichwa panzi tu, ataolewa hadi kufikia 40 ana talaka za kumtosha, nashangaa umeingia kwenye mahusiano na mwanamke asiyejitambua kiasi hicho, possibility ya wewe kutojitambua ni kubwa pia(birds of the same feathers)
 
Njia rahisi ya kumuacha tumia upande wako kuwa mkeo amegundua na hutaki kumpoteza hivyo umehamua kumuacha kulinda ndoa yako. Inaonekana unatumia upande wake tu kutaka kumuacha hapo ndio unakosea
 
Ushauri wa bure kabisa kila unapokutana nae uwe na mafuta ya mgando kwa sikio maana haujui siku wala saa jamaa yake atakapakufumania
 
Huyo dada ni mzaramo, wewe ni kabila gani? Huenda tukapata majibu mazuri kupitia tribal background zenu..
 
Yaani unamhurumia hawara, mumewe lakini umeacha kumhurumia mke, watoto na familia yako kwa ujumla? Seems ume-invest muda, mali na akili yako kwa huyo hawara, hadi kufikia kuwa na mawasiliano ya ukaribu na mama yake, wtf mkuu? You're above 40 for goodness sake!!

Una mkeo, hem' mpe heshima yake, wewe ni mtu mzima, kaka yetu kabisa, unatutia aibu, huna maamuzi thabiti kama baba na mume, tena mwenye mji wake. Unalala na mchumba siku ya harusi yake, unadhani ni ufahari lakini ni kukosa akili, man up n stop that rubbish, acha mawasiliano na mama yake, anakupotosha coz ameona wewe ni kiazi.

Mwisho, huyo mwanamke nae ni kichwa panzi tu, ataolewa hadi kufikia 40 ana talaka za kumtosha, nashangaa umeingia kwenye mahusiano na mwanamke asiyejitambua kiasi hicho, possibility ya wewe kutojitambua ni kubwa pia(birds of the same feathers)
Na bila shaka mwanamke anaonekana ndio zile familia ambazo baba na mama yake wanaishi kwa kipato cha mtoto wao kuhongwa na wanaume, pia inaonekana jamaa ni mhongaji kwa mama Mkwe ndio maana wanamuona Wa maana ila hajui kwamba wamemfanya pungasese..
 
Na bila shaka mwanamke anaonekana ndio zile familia ambazo baba na mama yake wanaishi kwa kipato cha mtoto wao kuhongwa na wanaume, pia inaonekana jamaa ni mhongaji kwa mama Mkwe ndio maana wanamuona Wa maana ila hajui kwamba wamemfanya pungasese..
Kama ulikuwepo mkuu, jamaa atakuwa provider wa familia hasa huyo mama yake.
 
Can you share hata experience moja mkuu!!! I ask for this favor

Japo swali si la kwangu lakini hili la mama kukukubali mchepuko ni kweli, wazazi huwa wanapenda sana kuona watoto wao wana furaha, mimi aliwahi kunikubali mama mpaka baba wa mke wa tu
 
Mkuu tunaishi nje ya miaka ya Neema. Hivyo shetani anashughulika na miaka ya watu. Vivyo ukiomba unapambana ili urudiashiwe miaka yako iliyoshambulowa na nzige kwenye ulimwengu Wa roho.
Uzinzi na chanzo cha mauti.

MITHALI 5:22
-Dhambi ni kamba. Kata kamba jifungue toka kifungoni.

MITHALI 6:20,
- Omba ujinasue toka kwa wanawake Malaya.



mithali 5:32
-aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Akili-

[Warumi 7:14- 25-kutenda mabaya badala ya mema..

*Ondoa mawazo ya kibinadamu.
Pepo la kikahaba likitoka linatoka na vitu vyake vyote.

UKIENDELEZA UCHAFU HUO.
UFUNUO (18:1-3), (8-9)
Utakuwa makao ya kila ndege wachafu.
-mapigo ya mzinzi huja Mara Mojave kwa mpigo.
"Kila ufanyavyo dhambi unaongeza kifungo"

1Wakoritho 6:12-20
-Vyakula kwa ajili ya tumbo, na tumbo kwa ajili ya vyakula; lakini Mungu atafanya hilo na pia hivyo viwe si kitu. Basi mwili si kwa ajili ya uasherati, bali kwa ajili ya Bwana; na Bwana ni kwa ajili ya mwili.
 
Huyo demu wala huna nia ya kumuacha coz anaonekana mtamu kuliko mkeo.
We endelea ila dogo anakulia timing.
Tembea na KY Bro!
Ajiandae tu
Mkuu hivyo vitu nimefanya sana,lkn ujue anapafahamu ofisini kwangu,lkn yeye anasema na siyo yeye tu,hata mama yake anasema km tatizo ni huyo mwanaume yy yupo tayari kuondoka. Mkuu ktk kutafuta jinsi ya kumuacha huyo dada,nilishawahi tena mwezi uliopita tu,nilichukua laini tofauti na zangu,nikajifanya me ni rafiki yake na huyo mwanaume lkn sitaki anijue. Nikamtumia SMS kumwambia kuwa kuna jamaa anatembea na mke wake,lengo langu achukue hatua za kumuogopesha. Yaani nilimueleza mpka muda anaopenda kupita. Nilimtumia maelezo mazuri sana..yy akawa ananipigia simu kutaka anijue nikawa sipokei. Cha ajabu jioni alivyorudi nyumbani,akamuonyesha mkewe zile SMS huku akisema kuna mbea anataka kutuchonganisha hapa hebu ona hizi SMS...!! Demu akazipiga screenshot akanitumia halafu akazifuta. Jamaa wala hakutilia maanani!
Anajua kinachoendelea ila anajifanya kama hajali
 
Karma itakulipa. Ipo siku utasikia mkeo analiwa nyuma. Sisemi ni lini lakini jua ipo siku.
 
Endela kushindwa tu mkuu
ila kumbuka dushe ya huyo jamaa haita shindwa ingia kwa tigo yako
 
Mkuu unapotaka kuacha kitu ambacho unajua ni kosa, hatua ya kwanza ni kukiri kwamba umefanya kosa. Kwako wewe bado hujakiri na ndio maana umejaribu sana kujustify kosa kwa kujaribu kugeneralize kwamba wanaume wote wanafanya (which is wrong) kwahiyo mi sijaona nia ya dhati ya kuacha unachokifanya.

Sasa huu ndio ukweli mchungu, mama yake na huyu binti (naamini hamjapishana umri) ndiye aliyemfundisha binti yake tabia hizi na ndio maana baba wa binti aliondoka. Ukitaka kuthibitisha hili jaribu kumtaka mama wa binti, nakuhakikishia wala hutapata shida kumpata.

Issue ya pili ni wewe kusema ulikuwa naye kabla hajaolewa. Unakumbuka mtu aliyekuwa na mkeo kabla we hujamuoa? Imagine kama na huyo jamaa angekuwa hivyo kwa mkeo how would you feel? So as soon as walipofunga ndoa haki yako ilisitishwa mbinguni na Duniani.

Nitakupa scenario kadhaa zinazoweza kuja kutokea kama hutafanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
1. Ipo siku mume wa huyu dada atajua ukweli na ndoa yake itavunjika. Nakuhakikishia na ya kwako pia itafuatia either kwa mkeo kusikia au kwa huyu binti kuiharibu makusudi.

2. Umewahi kusikia mtu kaua mkewe, watoto na kajiua mwenyewe? Huwa ni situations kama hizi na ikitokea hivi damu zao zitakuwa juu yako for the rest of your life.

3. Umesema uko kwenye ndoa kwa zaidi ya 21 years, ina maana una watoto wakubwa tu ambao soon wataoa au kuolewa. Imagine mtoto wako wa kiume ndio mke wake anamfanyia kama huyo mchepuko wako. Au mtoto wako wa kike anaconspire na mama yake kuwa kama huyo binti na aibu itakayokupata wewe kwa jamii.

4. Huyu “Dogo” Leo anavumilia lakini kila anavyovumilia anaaccumulate maumivu moyoni. Siku moyo wake ukilemewa na hayo maumivu yakatoka, karibu tena hapa kutupa mrejesho kama bado utakuwa unapumua.

Nakutakia kila la kheri kwa kuendelea kudhalilisha baraka ya ndoa.
 
Back
Top Bottom