Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
85
Reaction score
128
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide hata majina yake na location niweze kuomba kazi. please, kama kuna mtu anajua hayo makampuni, au sehemu yoyote ninayoweza kupata kazi za GIS basi anisaidie.

kuna baadhi za projects nimezifanyia kazi, zinahusu buffer zone na clipping. unaweza kuzipitia hiizi reports kwa kujiridhisha zaidi. pia nipo tayari kukosolewa kwenye hizo projects mbili.

NB: hizi report sio official reports, bali ni presentations za projects nilizofanya, nimeziweka katika muhundo wa report ili ziweze kueleweka kwa wanaozifuatilia.

FIles:
 

Attachments

Una kipi cha ziada ambacho kitashawishi uchukuliwe ww ingali kuna watu wamesoma miaka mitatu hiyo kozi ya GIS
 
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide hata majina yake na location niweze kuomba kazi. please, kama kuna mtu anajua hayo makampuni, au sehemu yoyote ninayoweza kupata kazi za GIS basi anisaidie.
VP ushapata kazi
 
Una kipi cha ziada ambacho kitashawishi uchukuliwe ww ingali kuna watu wamesoma miaka mitatu hiyo kozi ya GIS

ok, ni swali zuri mkuu. japo sijapata sehemu ya kufanya kazi, ila kuna personal projects that I have worked on.
hizi hapa chini ni reports za projects mbili ambazo nimezifanyia kazi. kama utahitaji project files and their folders unapata pia kwa kujiridhisha zaidi.

kwa mawasiliano zaidi 0620224372 (Whatsapp and normal call/text)
 

Attachments

Back
Top Bottom