Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

blind fighter

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
85
Reaction score
128
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide hata majina yake na location niweze kuomba kazi.

kuna baadhi za projects nimezifanyia kazi, zinahusu buffer zone na clipping. unaweza kuzipitia hiizi reports kwa kujiridhisha zaidi. pia nipo tayari kukosolewa kwenye hizo projects mbili.

NB: hizi report sio official reports, bali ni presentations za projects nilizofanya, nimeziweka katika muuundo wa report ili ziweze kueleweka kwa wanaozifuatilia.
 

Attachments

Mkuu mimi nataka Nijifunze hiyo kitu,
Nilisoma Nikiwa Chuo, ila nilikuwa na Changamoto za Kiafya nilipitwa na Mengi
(NIMESOSMA SOMO LINAITWA GIS MWAKA WA PILI.)

Huku nakupa connection ya kazi.
 
Mkuu mimi nataka Nijifunze hiyo kitu,
Nilisoma Nikiwa Chuo, ila nilikuwa na Changamoto za Kiafya nilipitwa na Mengi
(NIMESOSMA SOMO LINAITWA GIS MWAKA WA PILI.)

Huku nakupa connection ya kazi.
njoo whatsapp.
0620224372
 
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide hata majina yake na location niweze kuomba kazi.

kuna baadhi za projects nimezifanyia kazi, zinahusu buffer zone na clipping. unaweza kuzipitia hiizi reports kwa kujiridhisha zaidi. pia nipo tayari kukosolewa kwenye hizo projects mbili.

NB: hizi report sio official reports, bali ni presentations za projects nilizofanya, nimeziweka katika muuundo wa report ili ziweze kueleweka kwa wanaozifuatilia
Ninae Mdogo wangu pia Amesomea hii Kozi ya GIS & Remote Sensing. Ni mzuri sana kwenye hizo Software za GIS .Hivyo naomba kama ukipata Nafasi share nimtumie na yeye apate pakuanzia.
 
Mkuu na mimi nimesoma animation pia nataoa connection
 
Nani anazielewa hizi file?
 

Attachments

  • Screenshot_20250529-004759.png
    Screenshot_20250529-004759.png
    353.6 KB · Views: 40
Back
Top Bottom