Nina ukame tatizo ni domo zege hata barmaid siwezi kutongoza

Ni suala la muda tu. Ukiona hivo hauna hela or hauna muonekano mzuri (personality ikiwemo uvaaji), umri bado mdogo sana.

Ukikua/ukipata hela/kazi watakutafta wenyewe.
 
Nina miaka 29 ..na ni handsome sana.. Hela ipo na pamba natupia za ukweli Hunyu,
 
Nenda bar yoyote iliyopo karibu nawe kuna wale waudumu jifanye kama unaagiza bia alafu chukua no yake au mwambie nina ukame nataka nikakushwele
 
Naomba mnisaidie jamani, nisije baka

Uzi tayari
Sasa wewe unamuhitaji doctor mwaka. Aliyekwambia barmaid anatongozwa nani ilhali hao wasio mabarmaid tu siku hizi hawatongozwi. Au una ukame wa PESA pia? Kuwa wazi watu wajue kiini cha tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…