Nina ukame tatizo ni domo zege hata barmaid siwezi kutongoza

Nina ukame tatizo ni domo zege hata barmaid siwezi kutongoza

Ni suala la muda tu. Ukiona hivo hauna hela or hauna muonekano mzuri (personality ikiwemo uvaaji), umri bado mdogo sana.

Ukikua/ukipata hela/kazi watakutafta wenyewe.
 
Nina miaka 29 ..na ni handsome sana.. Hela ipo na pamba natupia za ukweli Hunyu,
 
Nenda bar yoyote iliyopo karibu nawe kuna wale waudumu jifanye kama unaagiza bia alafu chukua no yake au mwambie nina ukame nataka nikakushwele
 
Back
Top Bottom