Nina umri wa miaka 30, naishi kwa kaka yangu, watu wananidharau naombeni ushauri

Mrejesho vipi hapa mkuuu
 
Mrejesho vipi hapa mkuuu
Namshkuru Mungu mkuu baada ya kutoka kwa bro nilipata kazi ya kujishkisha aikupita muda nikapokea cm ya kupata kazi nyingine yenye maslahi mazuri zaidi ya ile ya awali
 
Tatizo anapenda madem atagombama na wenye ofisi,
 
 
Naomba kujua level yako ya ELIMU?
Napenda nitambue eneo unalo ishi ni uswailini?
Pia ufundi cctv na ufundi simu ulichagua wew au ulichaguliwa na mtu...
Usikate Tamaa Mwenyezi MUNGU ana kusudi lake Kwa Kila mtu....
 
Ila naona aibu kwa dharau nazoletewa hapa japo siku zote mimi huwa sishindi home huwa nakuwa Kariakoo kutafuta ramani
Kwa hiyo bro wako naye hajaoa? Si umesema amepanga chumba kimoja? Kwani huko bush ulikuwa unajishughulisha na nini?
 
Kwani hasa wewe umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Sijashindwa tatzo sina connection hata ya kupata kazi nilishaomba humu hata kuwa kama kibarua sikupata msaada
Kapige vibarua vya ujenzi utapata hela ya kupanga chumba na mbususu utazikimbia!
 

Njia ya kwanza nenda kwenye office za makampuni ya sim omba kuuza laini tafta cona nzuri weka kijiwe af apo apo kwenye kusajil uza vifaa vya simu mtaji wa protector 50 inatosha af andika pia ni findi simu, watu wa matatizo madogo madogo ya software watajileta tuu ukiona wateja wanakuja serius tafta fundi mwenywe vifaa(jenga urafiki nae) utapokua unapata mteja unaenda kupigia kaz kwake chap af mnagawana (usiwe na mkono wa bakuri) so utapata uzoef na ela kidgo kwa pamoja wakikuzoea utakua unaongeza accessories na vifaa vya ufundi mwisho utafanikiwa.

Ila pia kwakua unasmarfon kua dalali, amka hasbui nenda katafte stock( no za wenye nyumba flame na vyumba mwanza utakua mgumu ila strust me ukiwa unatafta no za wateja hasa wakike unapost startus vyumba na mali nyingine baada ya muda utakua unapata wateja kilasiku chamsingi weka juhudi usikubali kua unarudi home.

Mzee si wengine tushafika hali ya kati tunakaz and sehem nzuri za kulala and etc lakin haturud home mpaka wake walalamike kwenye sim sasa ntakuchangaa utapokua unatoka then unarud home mapema kaa mtaani hakikisha unapata pesa hope njia nilizokuambia zinaweza kukusaidia Inshallah.

Samehe huandishi wangu nimeandika sijatulia.
 
Endelea kukaa tu mkuu time will tel na huku ukiendelea kuamka saa 4 na kunyanganana rimoti na beki tatu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Madini sana 😊

Duu haina budi kua AGGRESSIVE KWENYE KUJIPAMBANIA....
 
Huwa mnawatia watu hasara za bure tu!!

Kama unajua kusoma na kuandika unataka nini zaidi!!?ungepewa mtaji hapo town ukauza hata ice cream tu jamaa!!?

Yaani unamtia mtu hasara ya mamilioni ilu ujifunze kutengeneza sim kweli!!?

Ufundi ninkipaji huhitaji kusomea kuwa fundi mtaa tu utakuonyesha kwamba wewe ni fundi!!!

Buni mradi wa kutanya uwe unataka na kurudi jioni!!

Mungu bariki vijana wa Tanzania wawe na akili timamu!

Elimu za kwenye makaratasi siyo pesa tafuta pesa!!
 
Akili yako ina fedheha nyongi sana. Hata uwezo wako wa reasoning ni fedheha tupu.

Uza simu rudi bush kuficha fedheha zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…