Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
- Thread starter
-
- #41
Daah..kaka najutia sana hayo maisha kiukweli nimechezea muda najua mnoWw ni fakeni sana ulikuwa wapi muda wote ulipokaa kwa kaka yako usijishughulishe, leo ndipo ukauze simu ili uanze maisha na utakufa masikini nyie ndio wale mkibebwa mnajilegeza badala ukaze popoma mkubwa ww
Uongo upi mkuu mbona niliyoyaeleza hapa yote yana ukweliunaanzisha thread za uongo uongo
Na akishindwa kupuuzia mambo ataishia kuendelea kuuumia na mwishowe kugombana na watu ovyo.Achana na maneno ya watu, wapuuze
Na ataishi kwa kujishtukia maisha yake yoteNa akishindwa kupuuzia mambo ataishia kuendelea kuuumia na mwishowe kugombana na watu ovyo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hata mimi nimehisi hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaanzisha thread za uongo uongo
Hauko peke yako ila toka hapo kwa bro wako haraka,nenda kajichanganye mtaani au rudi kijijini ukalimeHabarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana.
Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu.
Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam.
Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa mtu mmoja kwa ajili ya kunifunza ufundi wa CCTV ila mambo hayakwenda vizuri, baadae akanipeleka DIT nikajifunza ufundi wa simu.
Ila baadae tukaja gundua pale chuo wanapiga brash tu lakini ufundi kamili unakuwa bado hauko fresh baada ya kumaliza nikaonekana bado sijawa fiti. Ila kwa kipindi chote hicho nipo na bro kapanga chumba kimoja.
Basi nikaamua kutulia kwanza home, kumbuka hapo tayari nishamaliza miaka miwili na sijapiga hatua yoyote na hapo bro kashatumia kama milioni hivi kwa ajili yangu lakini ni kama amna alichokifanya.
Sometime naona kabisa kama anasononeka maana kajitoa sana kwa ajili yangu ili nifanikiwe lakini inaonekana kama hakuna kitu alichokifanya na kila siku lazima aniachie hela ya matumizi.
Sasa hicho kitu kinaniumiza sana moyo hapa tayari nishamaliza miaka mitatu ila bado sina chochote na mbaya zaidi majirani pia wameanza kuniletea dharau.
Kuna kibinti fulani hivi nilikitongoza pia kinanipenda sana, sasa walivyojua wakaanza kumjaza maneno kwamba mimi sina chochote ndio maana miaka yote naishi kwa kakaangu.
Ilimbidi yule binti aniache halafu mbaya zaidi hapo tunapokaa vijana wengi ni umri wangu tayari wameoa na wengine wana magari yao kiukweli naona aibu sana. Hata nivae vizuri bado inaonekana sio chochote, naambiwa nafugwa. Kiukweli hii hali inaniumiza.
Sina pesa ila hapa nawaza kuuza simu yangu niende nikatafute chumba uswahilini huko nilipe hata miezi mitatu halafu nianze kujichanganya kitaa kuliko hizi fedhea nazozipata hapa home.
Note: Umri wangu ni miaka 30, naombeni ushauri ndugu zangu nipo katika msongo mkubwa wa mawazo.
Naam [emoji1]Na ataishi kwa kujishtukia maisha yake yote
Sasa aibu ya nini wakati huo ndio ukweli kua unafugwa.Naona aibu kwa maneno nayoongelewa hapa home kwamba mimi nafugwa
Maisha sio connection,kwani wote waliofanikiwa walipata connection.Sijashindwa tatzo sina connection hata ya kupata kazi nilishaomba humu hata kuwa kama kibarua sikupata msaada
Umemsaidia na kuwasaidia wengi.Kwa kuanzia fundi CCTV anahitaji nini zaidi ya vitu vichache kama Wire cutter, Tester ya umeme, Screw drivers, Nyundo, Pliers, RJ45 Crimping Tool Kit...vitu vingine kama ngazi n.k unaweza hata kodisha, materials ya ufundi ni juu ya mteja unapompa quotation yako ikiwemo insulation tapes, conduit pipes, connection boxes n.k
Sawa mkuu nimekuelewa sana ahsanteTatzo lako ni uoga miaka 30 ukiamua 40 unakula kiulaini tu, piga chini ubishoo pambania kila sent usichague kazi , save ata 1000 kila sku , achana na wanawake na pombe ikibidi piga nyeto
usisikilize ya watu, mjini ni shule, akili unazo wewe mwenyewe, jipange ufanye uamuzi wako mwenyewe na si kwa kusukumwa na mtuHabarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana.
Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu.
Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam.
Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa mtu mmoja kwa ajili ya kunifunza ufundi wa CCTV ila mambo hayakwenda vizuri, baadae akanipeleka DIT nikajifunza ufundi wa simu.
Ila baadae tukaja gundua pale chuo wanapiga brash tu lakini ufundi kamili unakuwa bado hauko fresh baada ya kumaliza nikaonekana bado sijawa fiti. Ila kwa kipindi chote hicho nipo na bro kapanga chumba kimoja.
Basi nikaamua kutulia kwanza home, kumbuka hapo tayari nishamaliza miaka miwili na sijapiga hatua yoyote na hapo bro kashatumia kama milioni hivi kwa ajili yangu lakini ni kama amna alichokifanya.
Sometime naona kabisa kama anasononeka maana kajitoa sana kwa ajili yangu ili nifanikiwe lakini inaonekana kama hakuna kitu alichokifanya na kila siku lazima aniachie hela ya matumizi.
Sasa hicho kitu kinaniumiza sana moyo hapa tayari nishamaliza miaka mitatu ila bado sina chochote na mbaya zaidi majirani pia wameanza kuniletea dharau.
Kuna kibinti fulani hivi nilikitongoza pia kinanipenda sana, sasa walivyojua wakaanza kumjaza maneno kwamba mimi sina chochote ndio maana miaka yote naishi kwa kakaangu.
Ilimbidi yule binti aniache halafu mbaya zaidi hapo tunapokaa vijana wengi ni umri wangu tayari wameoa na wengine wana magari yao kiukweli naona aibu sana. Hata nivae vizuri bado inaonekana sio chochote, naambiwa nafugwa. Kiukweli hii hali inaniumiza.
Sina pesa ila hapa nawaza kuuza simu yangu niende nikatafute chumba uswahilini huko nilipe hata miezi mitatu halafu nianze kujichanganya kitaa kuliko hizi fedhea nazozipata hapa home.
Note: Umri wangu ni miaka 30, naombeni ushauri ndugu zangu nipo katika msongo mkubwa wa mawazo.
Achana na mambo ya kwenda kupanga wakati huna kipato cha uhakika. Hapohapo kwa kaka yako jichanganye mtaani
Taratibu zao zikoje mkuuJiunge na uvccm bro...huko ni kulamba asali Tu...na tena unaonekana unapenda Sana kung'aa..huko watakung'arisha ...wewe KAZI yako ninkusema alipo mama vijana tupo...baassiii...
Sawa mkuuusisikilize ya watu, mjini ni shule, akili unazo wewe mwenyewe, jipange ufanye uamuzi wako mwenyewe na si kwa kusukumwa na mtu