Seran vipi vigezo unavyo ujibebee mubaba 😂1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama mama Edina
😂😂😂 mubaba ana masharti makali sanaSeran vipi vigezo unavyo ujibebee mubaba 😂
Yani mzee ana vipengele hatari 😂😂😂😂 mubaba ana masharti makali sana
Mzee ana karibia kustaafu ila sasa he🙌Yani mzee ana vipengele hatari 😂
Kua fair ungeweka, kipato chako kwa mwezi assets zako liabilities zako wategemezi wako, kiwango cha elimu yako watoto wako,1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama mama Edina
Nina asset za si chini ya billion 8Kua fair ungeweka, kipato chako kwa mwezi assets zako liabilities zako wategemezi wako, kiwango cha elimu yako watoto wako,
Sawa kwahiyo unatafuta mtoto wa kitanzania ili iwe je? Huja taja kazi yako hasa ilio kufanya accumulate 8bn assets, unajua matajili kama nyie wa 8bn Tanzania nzima hamfiki hata 5000, wewe kwa utajili wako unazidi watumishi wa ummah wote kasoro Raisi waziri mkuu na viongozi wa Ikulu, kwahivo unge omba ulizi nchiniNina asset za si chini ya billion 8
Elimu vyuo kadhaa duniani, sawa kijana, mrefu 182, si mnene nina watoto nje ya nchi sina mtoto Mtanzania, ndo mana natafuta. Watoto wane wamarekani wawili na wa Croatia wa2.
si mlevi, sina liability nyingi. Mtanzania maji ya kunde sawa Covax
utakuwa umekubali. si ndio?🐄Sawa kwahiyo unatafuta mtoto wa kitanzania ili iwe je? Huja taja kazi yako hasa ilio kufanya accumulate 8bn assets, unajua matajili kama nyie wa 8bn Tanzania nzima hamfiki hata 5000, wewe kwa utajili wako unazidi watumishi wa ummah wote kasoro Raisi waziri mkuu na viongozi wa Ikulu, kwahito unge omba ulizi nchini
Alafu ana mali za B kadhaa... wakati alikuwa anamkia wapi vile 😃JF VAR CHECK
Mwaka jana ulikua na umri wa miaka 45 ila mwaka huu una miaka 49 hii ni maajabu.
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.
Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.
Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.
Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.
Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na...
- bwawani90
- miaka 20
- Replies: 63
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Mkuu hapo kwenye code No. 6 ndo inmeharibu, utazeeka tu. Hupati Ng'o !1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama Mama Edina
14. Akisimama mguu sawa katikati kuwe na iwazi na kaipis kwa mbaali.
15. sipendi tabia kama za Binti wa zamani