Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

Ila huku ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwenyewe anakwambia awe anajua kusimamia biashara ๐Ÿคฃ
 
Uko karibia ku expire mkuu!
 
Nauza udongo wa kuumba watu mkuu
 

Kuna watu huwa wanaamini sana mambo ya online ,utakuta mtu anapagawa baada ya kuona mtu anayefahamiana amepost ana Vogue au anakula Bata au amepost yupo Mbele ya mjengo ,kumbe ni maigizo tu.

Mimi huwa sipagawi na story au maigizo ya online maana naowajua watu wenye pesa physically wana account facebook lakini hawana hata post moja ,ni profile picha yao na friends tu basi.

Ukiona mtu anapost majumba ,mara magari ,au hela basi jua huyo ana stress anataka kujilazimisha furaha huku ndani ana majonzi.
 
Mzee mwenzangu umeachana na mkeo au amefariki, at 49 ni uwezekano mdogo sana kuwa hakujawahi kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ