Una ugonjwa wa kisukari? Maana huu nao unafanyaga libido ipungue au ishuke kabisa.Tatizo la muda mrefu sasa,yapata miaka 3 tangu lianze ila lilianza kidogo kidogo mpaka sasa limekuwa sugu.
Ko unadhani kupigwa miti bila kupenda ni rahisi???Nguvu za kike ? !! Mamaweee we za kazi gani hzo wakti we kazi yako kupigwa miti tu
Pole sana jamani! Hili yendo ukifanya bila mahikemshike wa hamu linakja karaha. Kuna bubble gum flani niliziona sehemu za kuingeza hamu kwa mwanamke... Nikipata jina ntakuletea. Zinauzwa sana siku izi.
Sijawai tumia ila mrejesho wa wadada kwenye group unazisifia sana.Mh! Sijawahi kusikia hii kitu. Hazina side effect kwa mtumiaji!?
Sijawai tumia ila mrejesho wa wadada kwenye group unazisifia sana.
Ishu ya huyu dada haiitaji madawa ya kuongeza nguvu temporarily... Ila hii ni za mda mchache pale unapotaka tendo.
Swali muhimu maana usikute mtu kuli tunakosa namna ya kupata ufumbuziunajishughulisha na nini?
Je hauna vyeti feki Mkuu tuanzie hapo kwanza.Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono,sio mlevi wala mvuta sigara,nakula vizuri, sina msongo wa mawazo,vipimo vinaonesha homon ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kam kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Je zinapatikana hapa nchini?Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mrejesho baada ya matumizi.
Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mre
Ndio!!! Tenawanaume wengine wanawapa wasichana wao bila wao kujua [emoji23][emoji23][emoji23]Mh! Unatafuna tu hiyo big g ya libido na nyetini kunaanza kutabasamu lol!
Ndio!!! Tenawanaume wengine wanawapa wasichana wao bila wao kujua [emoji23][emoji23][emoji23]
"Don't do this at home!"
Sijapenda lugha uliyotumia.Na siyo lazima kucomment.Unaweza kusoma tu na kupita.Nguvu za kike ? !! Mamaweee we za kazi gani hzo wakti we kazi yako kupigwa miti tu
Dada wa watu ana tatizo baada ya kutoa ushauri unauliza maswali yako hayaendani na post,yaani kwa muonekano wa maswali yako yamekaa kishirikinaUliwaacha au walikuacha?
Je uliwapenda sana hapo awali na uliwaamini sana?
Afadhali wewe umekua mkweli sio wengine wanasema Eti nina rafiki yangu ana tatizo la hivi na vile kumbe ndio yeye,Inshalah Mungu atakujaalia utapona na utafurahia raha kubwa kuliko zote dunianiOk, naomba Mungu zinisaidie,maana hali ishakuwa tete.
Kwani usipo changia utaonekana mshamba?Je hauna vyeti feki Mkuu tuanzie hapo kwanza.
Unameza pamoja na chakula kwa maan ya kushibaAsante sana nitazitafuta nitumie kisha nitawaletea mrejesho.
Jitahidi kula vyakula asiliaWahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono,sio mlevi wala mvuta sigara,nakula vizuri, sina msongo wa mawazo,vipimo vinaonesha homon ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kam kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!