Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Kuna njia tatu tofauti nizijuzo za kukusaidia, leo ntakupa moja, kama hujafanikiwa unijulishe nikupe nyingine.

Fanya yafuatayo, muda wa tatizo lako kwisha kabisa itategemea na unavyojisikia:

- Mdalasini wa kusaga vijiko viwili vya chakula, asali vijiko viwili vya chakula, glass moja ya maji vuguvugu. Kunywa kutwa mara tatu kwa siku 90 mfululizo.

- Lozi (Badam) zisizopungua punje 21 changanya na zabibu kavu, ule kila siku asubuhi kabla ya kula chochote. Mezea na hiyo juisi ya mdalasini na asali. Usile breakfast mpaka yapite masaa mawili baada ya kupata hiyo "concoction".

Hayo yanaenda sambamba.

Nasubiri matokeo.
Asante sana kiongozi,nitafanya hivyo.
 
Pole sana Ntigy. Bila shaka tatizo lipo kwenye ufahamu wako(subconscious mind). Kuna kitu kunaitwa trapped emotions, inasumbua watu wengi sana duniani. Njoo PM.
 
Ntigy I hope unachambua ushauri wa kuufanyia kazi maana nyingine naona ni tango pori live.


Halafu, nje ya topic, huyu shemeji yetu ndo yule member wa JF uliyempata huku!??
Ni kweli nimepata ushauri mwingi,najua nitapata suluhisho baada ya kutumia baadhi ya mbinu nilizoshauriwa.
Ndio ni yeye mkuu!
 
Mkuu nimesoma uzi mzima na maswali uliyoulizwa, vyanzo vya tatizo lako vinaweza kuwa vifuatavyo;
1. Ulaji wako wa chakula sio mzuri (You are eating too much of junk foods kama chips mayai, nyama choma and the like)
2. Huenda kuna roho waovu wamekuingia (mashetani kama vile majini mahaba au majini tu yanayokukosesha ashki).

Suluhisho.
1. Achana na kutumia madawa yatakutengezea dependence na mwisho wa siku nguvu zitakufa kabisa bali badili mfumo wa maisha hususani ulaji na kulala kwa wakati. Kula mboga za majani, matunda kama matikiti n.k, jitahidi kula chakula bora na sio chipsi mishkaki. Jitahidi pia kula vitu vinavyoongeza ashki kama vile vyakula vya baharini kama pweza n.k

2. Kuwa mchamungu, yaepuke madhambi yote ya dhaahiri na ya siri ikiwemo zinaa, uongo uongo usio na sababu wala tija n.k. Kama ni mashetani au majini, ukishakuwa msafi wa roho na mwili kwa kiwango cha kumpendeza Mwenyezi MUNGU yataondoka yenyewe sio lazima uombewe. Jiombee mwenyewe.

Hayo hapo juu sio tiba ya usiku mmoja bali ni tiba inayochukua muda hata miezi, kuwa na subira, penye nia pana njia.
Nashukuru kwa ushauri wako!
 
Pole sana dada nakushauli nenda kwenye maduka ya kisuna ununuwe dawa inayoitwa NYAVA VINA nizuli sana ina kwaupande wa mwanamke,kwaumezo wa allah itakusaidiya
 
Pole sana dada nakushauli nenda kwenye maduka ya kisuna ununuwe dawa inayoitwa NYAVA VINA nizuli sana ina kwaupande wa mwanamke,kwaumezo wa allah itakusaidiya
Asante kwa ushauri wako.
 
Sasa kukosa hamu au ukavu kuna uhusiano na nguvu za kike!!! Kwanza hamnaga ukosefu wa nguvu za KKE.....hamnaga nguvu za kike aisee.....sema huna hamu yya kufanya tendo LA ndoa!!... Au unakua mkavu ukeni!!?
Unakula vizuri unakula nn??
Maana kama mpenzi wa vyakula kama chips Nayo inachangia,Milo yako ya mavyakula ya kukaanga ni shida moja wapo!!
Swali jingine je Huyo ulie nae unampenda??
Maana kama humpend hata ujilazmishe mwili haurespond;?
Ebu tuambie kama ulishakuaga na mtu unampenda sana na mkisex inakuaje?
Nguvu za kike zipo mkuu
 
Kunywa maji moto nusu saa kabla ya mech. Isipozaa matunda kuna njia nzur kama huko uliko mnatengeneza juice ya ndizi Au pombe ya kienyeji. Nitakutajia vitu vya kuchanganya unywe. Hakika utaenjoy
 
Ilikuwa kabla ya kupigwa marufuku.
Pole sana najua unavyopata maumivu ila hata mm mke wangu alikuwa na tatizo hilo nilijitahidi katika maandalizi na sasa hv huwa anaridhika sana anakuwa wet hadi naogopa mimi
 
Back
Top Bottom