Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
Nitafute ninadawaSijawahi kuliwa nyuma,sijakeketwa nampenda sana mpenzi wangu lakini hali ndo hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafute ninadawaSijawahi kuliwa nyuma,sijakeketwa nampenda sana mpenzi wangu lakini hali ndo hiyo.
Asante sana kiongozi,nitafanya hivyo.Kuna njia tatu tofauti nizijuzo za kukusaidia, leo ntakupa moja, kama hujafanikiwa unijulishe nikupe nyingine.
Fanya yafuatayo, muda wa tatizo lako kwisha kabisa itategemea na unavyojisikia:
- Mdalasini wa kusaga vijiko viwili vya chakula, asali vijiko viwili vya chakula, glass moja ya maji vuguvugu. Kunywa kutwa mara tatu kwa siku 90 mfululizo.
- Lozi (Badam) zisizopungua punje 21 changanya na zabibu kavu, ule kila siku asubuhi kabla ya kula chochote. Mezea na hiyo juisi ya mdalasini na asali. Usile breakfast mpaka yapite masaa mawili baada ya kupata hiyo "concoction".
Hayo yanaenda sambamba.
Nasubiri matokeo.
Ni kweli nimepata ushauri mwingi,najua nitapata suluhisho baada ya kutumia baadhi ya mbinu nilizoshauriwa.Ntigy I hope unachambua ushauri wa kuufanyia kazi maana nyingine naona ni tango pori live.
Halafu, nje ya topic, huyu shemeji yetu ndo yule member wa JF uliyempata huku!??
Nashukuru kwa ushauri wako!Mkuu nimesoma uzi mzima na maswali uliyoulizwa, vyanzo vya tatizo lako vinaweza kuwa vifuatavyo;
1. Ulaji wako wa chakula sio mzuri (You are eating too much of junk foods kama chips mayai, nyama choma and the like)
2. Huenda kuna roho waovu wamekuingia (mashetani kama vile majini mahaba au majini tu yanayokukosesha ashki).
Suluhisho.
1. Achana na kutumia madawa yatakutengezea dependence na mwisho wa siku nguvu zitakufa kabisa bali badili mfumo wa maisha hususani ulaji na kulala kwa wakati. Kula mboga za majani, matunda kama matikiti n.k, jitahidi kula chakula bora na sio chipsi mishkaki. Jitahidi pia kula vitu vinavyoongeza ashki kama vile vyakula vya baharini kama pweza n.k
2. Kuwa mchamungu, yaepuke madhambi yote ya dhaahiri na ya siri ikiwemo zinaa, uongo uongo usio na sababu wala tija n.k. Kama ni mashetani au majini, ukishakuwa msafi wa roho na mwili kwa kiwango cha kumpendeza Mwenyezi MUNGU yataondoka yenyewe sio lazima uombewe. Jiombee mwenyewe.
Hayo hapo juu sio tiba ya usiku mmoja bali ni tiba inayochukua muda hata miezi, kuwa na subira, penye nia pana njia.
OkNiliwaacha,niliwapenda na niliwaamini pia.
Ufikiliavyo sivyo nilivyoDada wa watu ana tatizo baada ya kutoa ushauri unauliza maswali yako hayaendani na post,yaani kwa muonekano wa maswali yako yamekaa kishirikina
Nguvu za kike zipo mkuuSasa kukosa hamu au ukavu kuna uhusiano na nguvu za kike!!! Kwanza hamnaga ukosefu wa nguvu za KKE.....hamnaga nguvu za kike aisee.....sema huna hamu yya kufanya tendo LA ndoa!!... Au unakua mkavu ukeni!!?
Unakula vizuri unakula nn??
Maana kama mpenzi wa vyakula kama chips Nayo inachangia,Milo yako ya mavyakula ya kukaanga ni shida moja wapo!!
Swali jingine je Huyo ulie nae unampenda??
Maana kama humpend hata ujilazmishe mwili haurespond;?
Ebu tuambie kama ulishakuaga na mtu unampenda sana na mkisex inakuaje?
Pole sana najua unavyopata maumivu ila hata mm mke wangu alikuwa na tatizo hilo nilijitahidi katika maandalizi na sasa hv huwa anaridhika sana anakuwa wet hadi naogopa mimiIlikuwa kabla ya kupigwa marufuku.