Njia ya kwa ni kufutilia mbali app hiyo,Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.
Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .
Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.
Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
Sober houseNina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha.
Haikulemazi ila dunia ndio inataka tuishi hivyoKwa nini sitakiwi kuiacha? Nijibu ndugu
Tupe mfano vitu unavyouliza ChapGPT tuone kama uko addicted au vinamake sense.Mifano ipi? Nielezee nitajibu ndugu
Huwa natumia ku solve changamoto za maisha.Njia ya kwa ni kufutilia mbali app hiyo,
Wewe unaotumia kwenye kitu gani hasa?
Life wasnt meant to be tough. Use that AI shit to the fullestAisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.
Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .
Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.
Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
Ni sahihi mkuu, wewe unaeiuliza maswali na unasema inakupa uvivu wa kufikiri ilihali kuna mwingine yeye ndio nyenzo kuu kufanyia kazi zake.Ok sawa ila nitakuwa nacheza mind game kupasha mishipa ya ubongo
What a boring life ?But it can make us unintelligent also make our life bored due to no challenges