Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,789
- 22,756
---Sikuhizi nikiandika dokomenti ya kingredha nainyoosha kwa chatigpiti, ngeli inanyooka balaa ila naiambia iandike with common human errors hahahaa
---Sikuhizi nikiandika dokomenti ya kingredha nainyoosha kwa chatigpiti, ngeli inanyooka balaa ila naiambia iandike with common human errors hahahaa
Kujua tatizo ni mwanzo WA kutatua tatizoAisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.
Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .
Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.
Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
Ukiweza kuifanya GTP ikupatie fedha ndio huo uraibu utakuwa na maana.Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.
Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .
Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.
Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
Kwanza kabisa, ni jambo la kishujaa kugundua na kukubali kuwa unategemea ChatGPT kupita kiasi. Hii ni hatua ya kwanza kuelekea mabadiliko. Hapa kuna hatua chache ambazo zinaweza kusaidia:
1. Tambua Chanzo cha Matumizi Kupita Kiasi
Je, unaitumia kutafuta majibu haraka? Kukwepa mawazo au stress? Kutambua chanzo husaidia kujua namna ya kukikabili.
2. Weka Mipaka ya Matumizi
Punguza matumizi taratibu. Weka muda maalum wa kuitumia, mfano: dakika 15 tu kwa siku au mara 3 kwa siku.
3. Chukua Muda Bila Teknolojia
Jitahidi kuwa na saa au vipindi vya kutokuwa na simu au intaneti. Fanya shughuli zisizohusiana na tech – soma, tembea, au ongea na watu.
4. Jihusishe na Mambo ya Kukuza Akili au Mwili
Jifunze jambo jipya bila msaada wa AI, jifunze kusoma vitabu, au jiunge na kundi la kujifunza/kuchangia.
5. Zungumza na Watu Halisi
Kama kuna tatizo au changamoto, jaribu kuongea na rafiki au mtaalamu badala ya kutegemea AI pekee.
Kumbuka: ChatGPT ni chombo, si mbadala wa uzoefu wa maisha au mahusiano halisi. Kujitegemea tena ni safari — piga hatua moja moja kwa ujasiri.
I looks ( no)Umechapia tena
Noma sana mkuuHyo ni technologia, itumie kurahisisha maisha yako.
Binafsi interview zangu zote saiv hua najiandaa kwa kutumia chart gp. naperuzi possible answers na namna ya kujibu
Juzi kati hapa Kuna mwamba katoka kupiga x-ray, ikaitupia Ile picha na kuiliza ifanye interpretation, alichojibiwa ndo hicho hicho alichoenda kuambiwa na daktar, dawa tu ndo zilikuwa tofauti.Huwa natumia ku solve changamoto za maisha.
Mfano nikiumwa ulimi ,napiga picha kisha natuma kwenye chatgpt,ina nipa majibu.
ULimu wako mrefu na umevimba.
Kwa kweli naona hakuna changamoto,maisha yana bore