Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

Huwa natumia ku solve changamoto za maisha.
Mfano nikiumwa ulimi ,napiga picha kisha natuma kwenye chatgpt,ina nipa majibu.
ULimu wako mrefu na umevimba.

Kwa kweli naona hakuna changamoto,maisha yana bore
Mkuu nenda kaonane na daktari wale ushauri.

Kama unaitumia kujifunza vitu mbalimbali haina shida sana.

Ila hayo ya ulimi , nenda kwa daktari AI sio daktari
 
Ukisimlia watu ishu inatembea watu kumi kidogo,Bora ubaki ulivyoamua
 
ChatGP niliwauliza mimi(nikataka jina) ni nani wakanijibu kwamba ni waziri
 
Lengo la mzungu ni Kututawala Hadi mawazo yetu. Na Hilo katimiza. kilichobaki ni ushoga tu.
 
Nimewahi kuwaza kuwa hizi AI zitadumaza sana ufikiri wa watu wengi.
 
Mpo wengi sana harafu Wala amjiongeze mnaandika vitu rahisi kujua ni AI generated
 
ChatGPT ina faida ukiitumia katika kupata maarifa. Sijajua we unaitumiaje mpaka kujiona unakosea.

Usiache kuitumia, ila itumie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…