Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

Simply futa app, jizoeshe kusoma sana vitabu
 
Sikuhizi nikiandika dokomenti ya kingredha nainyoosha kwa chatigpiti, ngeli inanyooka balaa ila naiambia iandike with common human errors hahahaa
 
Frankly speaking, it's not that I love English, but professionally as a teacher, I can identify grammatical errors simply by reading a sentence. A lack of proper grammar makes it sound weird.
Ajifunze Lugha hapo,kaandika mazonge tupu
 
Hili sio tatizo, you are using technology. Sema tu punguza. Hii sio addiction hii ni dependence. You can take control of it!
 
Ni chatgpt tu au una matumizi sana ya simu?
 
Mawazo hayo ya kibinadamu yalishawekewa njia za kuyarahisisha ili kupata majibu sahihi.

Ni sawa una chombo cha usafiri kisha baadaye unaanza kukilaani na kutaka ushauri namna ya kupuyanga kwa miguu!

Kuna tofauti gani ya kusalve hesabu kwa kutumia calculator ili kupata jibu sahihi na kutumia chatgpt?

Zote hizo ni mashine za kukurahisishia majibu yenye uhakika na hazidumazi akili yako perhaps kwa mwanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…