Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

Naamini lile sinia ulilokuwa umeweka ugali hukulila!
Nenda ukamalizie kulila ndio upime tena, utakuta ongezeko!
Halafu pia sababu nyingine ni kwamba hukula ugali bali kaugali kadogo, zipo sababu nyingine kama kunywa maji, badala yake ulipaswa unywe walao gongo glass mbili au bia sita!
Vile vile hiyo nyama hujasema ilikuwa ya mnyama gani, kutoka sehemu gani ya mwili wake, ungesema ungepata ufafanuzi zaidi wa kitaalam!
Hapo factor nyingine zimebaki constant, kama kula kachumbari, uliiweka pilipili kweli?
Kumbe alitakiwa abebe chakula bila kuweka kwenye sinia wakati anapima uzito
 
Swali umelielewa?
Haya basi ndugu tufanye sijaelewa, Kama vile unajibu kwa gubu, ngoja nijiondokee. Mimi nilikuwa najibu kawaida tu lkn mwenzangu unajibu kwa kunifokea.
Nilimaanisha ulivyopima kilo pamoja na chakula ikawa 81 hapo kuna uzito kidogo wa sinia. Sasa wapi nimekosea ndugu hadi ushindwe kunielewesha tukaendelea na mada vizuri?
Am sorry.
 
Gubu utakuwa nalo wewe! Sikukuelewa! Nimeuliza Kwanini kilo zilibaki 79 badala ya kuongezeka?
 
Naamini lile sinia ulilokuwa umeweka ugali hukulila!
Nenda ukamalizie kulila ndio upime tena, utakuta ongezeko!
Halafu pia sababu nyingine ni kwamba hukula ugali bali kaugali kadogo, zipo sababu nyingine kama kunywa maji, badala yake ulipaswa unywe walao gongo glass mbili au bia sita!
Vile vile hiyo nyama hujasema ilikuwa ya mnyama gani, kutoka sehemu gani ya mwili wake, ungesema ungepata ufafanuzi zaidi wa kitaalam!
Hapo factor nyingine zimebaki constant, kama kula kachumbari, uliiweka pilipili kweli?
Watu mnavituko sana
 
Ulitakiwa umeze na sinia ndo uzito ungeongezeka
 
Unakuta Mtu kauliza swali zuri lakini hamna jibu analopewa zaidi ya dhihaka na masihara mengi
 
Hili Ni swali zuri LA kiutafiti. Hata hii mimi niliwahi kulifikiria kwa ujumla tu, kwa nini unapokula uzito wako hauongezeki indirect proportion. Yaani kama alivyouliza, tulitegemea uzito uongezeke kwa kiwango cha uzito Wa Chakula. Hili swali nadhani Ni LA physics. Principle za (floating objects). Tusaidie wataalam Wa science
 
Kwa nyongeza, mwanamke Mwenye mimba, uzito wake Ni pamoja Na kiumbe kilichopo kumboni? Akijifungua uzito unapungua?
 
Back
Top Bottom