Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

Jf kuna mambo na vijimambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] si kwa majibu haya
 
Ulivopima mwanzo ulikua umevaa viatu baada ya kula ukamua kuacha sinia pemben na viatu ukavua, nashangaa kg kubak 79 angali zilitakiwa zibak 76😔
 
Mzani unaoweza kupima hadi uzito wa kilo moja na robo (1250g)
Inawezekanaje kuwa na accuracy ya 500g yaani nusu kilo nzima isionekane?
Maanake kama ina accuracy ya hivi, kitu cha robo kilo ukipima kisingeonekana

Anyway naendelea kujifunza
MFANO!

Angalia accuracy ya mzani wako kwenye kitabu chake. Wangu ni 250g. Unapina kuanzia 5kg
 
Kwa swali hili usitarajie kupata majibu sahihi kwa wasomi wetu wakibongo
 
Back
Top Bottom