Nina uzito wa kilo 79, Nimekula nyama kilo moja na robo na ugali kisha nikapima uzito bado ni uleule kilo 79: Kwanini?

Uzito huongezeka hata kwa kunywa maji tu,
 
Kumbe alitakiwa abebe chakula bila kuweka kwenye sinia wakati anapima uzito
 
Swali umelielewa?
Haya basi ndugu tufanye sijaelewa, Kama vile unajibu kwa gubu, ngoja nijiondokee. Mimi nilikuwa najibu kawaida tu lkn mwenzangu unajibu kwa kunifokea.
Nilimaanisha ulivyopima kilo pamoja na chakula ikawa 81 hapo kuna uzito kidogo wa sinia. Sasa wapi nimekosea ndugu hadi ushindwe kunielewesha tukaendelea na mada vizuri?
Am sorry.
 
Gubu utakuwa nalo wewe! Sikukuelewa! Nimeuliza Kwanini kilo zilibaki 79 badala ya kuongezeka?
 
Watu mnavituko sana
 
Ulitakiwa umeze na sinia ndo uzito ungeongezeka
 
Unakuta Mtu kauliza swali zuri lakini hamna jibu analopewa zaidi ya dhihaka na masihara mengi
 
Hili Ni swali zuri LA kiutafiti. Hata hii mimi niliwahi kulifikiria kwa ujumla tu, kwa nini unapokula uzito wako hauongezeki indirect proportion. Yaani kama alivyouliza, tulitegemea uzito uongezeke kwa kiwango cha uzito Wa Chakula. Hili swali nadhani Ni LA physics. Principle za (floating objects). Tusaidie wataalam Wa science
 
Kwa nyongeza, mwanamke Mwenye mimba, uzito wake Ni pamoja Na kiumbe kilichopo kumboni? Akijifungua uzito unapungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…