Misunderstood JF-Expert Member Joined Aug 4, 2020 Posts 384 Reaction score 884 Nov 14, 2020 #41 Jf kuna mambo na vijimambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] si kwa majibu haya
E medics Member Joined Sep 18, 2019 Posts 79 Reaction score 93 Nov 14, 2020 #42 Ulivopima mwanzo ulikua umevaa viatu baada ya kula ukamua kuacha sinia pemben na viatu ukavua, nashangaa kg kubak 79 angali zilitakiwa zibak 76😔
Ulivopima mwanzo ulikua umevaa viatu baada ya kula ukamua kuacha sinia pemben na viatu ukavua, nashangaa kg kubak 79 angali zilitakiwa zibak 76😔
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 7,845 Reaction score 16,942 Nov 14, 2020 #43 dmkali said: Mzani unaoweza kupima hadi uzito wa kilo moja na robo (1250g) Inawezekanaje kuwa na accuracy ya 500g yaani nusu kilo nzima isionekane? Maanake kama ina accuracy ya hivi, kitu cha robo kilo ukipima kisingeonekana Anyway naendelea kujifunza Click to expand... MFANO! Angalia accuracy ya mzani wako kwenye kitabu chake. Wangu ni 250g. Unapina kuanzia 5kg
dmkali said: Mzani unaoweza kupima hadi uzito wa kilo moja na robo (1250g) Inawezekanaje kuwa na accuracy ya 500g yaani nusu kilo nzima isionekane? Maanake kama ina accuracy ya hivi, kitu cha robo kilo ukipima kisingeonekana Anyway naendelea kujifunza Click to expand... MFANO! Angalia accuracy ya mzani wako kwenye kitabu chake. Wangu ni 250g. Unapina kuanzia 5kg
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Nov 14, 2020 #44 Kwa swali hili usitarajie kupata majibu sahihi kwa wasomi wetu wakibongo