Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

Asiwe na Hofu wala Kusema Kwamba Atamwambukiza Mumewe maana Mpaka hapo Hawezi Mwambukiza. Kikubwa Atumie Vidonge kwa usahihi Na Akipimwa Iwe Inasoma TND. Hawezi Mwambukiza Sema Tu Akae Mbali na Wambea Na Siri yake Asimwambie Mtu Yeyote yule.
 
Asiwe na Hofu wala Kusema Kwamba Atamwambukiza Mumewe maana Mpaka hapo Hawezi Mwambukiza. Kikubwa Atumie Vidonge kwa usahihi Na Akipimwa Iwe Inasoma TND. Hawezi Mwambukiza Sema Tu Akae Mbali na Wambea Na Siri yake Asimwambie Mtu Yeyote yule
Fafanua vizuri mkuu. Sijakuelewa.

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ulipata wapi?
 
Hii paragraph imenipa uchungu mkubwa sana nimejisikia kulia duh!!!! It’s SO SAD!

Majibu yalikuja na kuonesha yeye na mtoto hawana maambukizi mm majibu yangu ndo yalikuja tofauti lakini pale pale tuliambia wote hatuna... ila nimshukuru muuguzi maana alificha ukweli kwanza na kuniita pembeni kuniuliza maswali mengi! Nilihisi kujinyea na kujikojolea maana ndoa yangu ipo matatani!

 
Sad
 
Kuna tu dawa vinapakwa kwenye kichwa cha naniliuuu, kwa wiki 2 tu utakuwa bieee tu
 
Haupo tayari kumwambia kwa kuwa haupo tayari kumpoteza ila uko tayari kupoteza uhai wako. Hili si sawa. Jivunie maisha uliyoishi naye na hukumwambukiza. Takafakari kwa kina mweleze ukweli. Akikuacha mshukuru Mungu kwa kuwapa kumbukumbu nzuri ya watoto kisha songa mbele. Ila usitoe uhai.

Kuwa tayari kwa lolote ili maisha yasonge mbele hata kwa kutokubaliana.
 
Kwanza nakupa hongera kwa kuishi kimaigizo kwa muda wote huo..naelewa kusema jambo hili kwa mwenza sio rahisi kama wengine wanavyodhani hasa pale mwenza anapokuwa hana elimu juu ya maambukizi.kwake itakuwa janga na linaweza leta maafa ya hatari. Kwanza natamani kujua uelewa wako juu ya sayansi ya maambukizi..maana sio kila mtu anaweza kuambukizwa..kuna wengine wanadamu zenye kitu kinaitwa R+ kama sikosei..hao wananguvu ya kukidhibiti kirusi...hivyo kirusi hakipati nafasi ya kumshambuliana na hata kuzaliana. Nahisi mumeo ni watu wa jinsi hii...sisi huku uswahilini tunawaita carreer...ingawa sio carreer but niwatu wenye immunity hiyo. Ukiweza mpeleleze. Na sasa basi kama yeye hana..na iwapo anahio kinga..we usiwe na mashaka...utaishi nae milele bila maambukizi..ila wewe ndio itabidi ujichunge usijekupata maambukizi mapya. La msingi kwako, kwanza ujikubali..na kujisamehe ..maana naelewa huenda maambukizi hayo ulipata wakati wa kujifungua..au matibabu mengine yasiokuwa na uangalifu wa kutosha. Hivyo acha kujihukumu kynakufanya dhaifu zaidi. Pili ..fanya bidiii kujua damu ya mumeo..je ni kweli yeye anakinga ya asili...tatu...nenda kwa mshauri nasaha..akushauri namna utaweza mshirikisha mumeo...washauri wanamaarifa zaidi yetu..wanambinu za kulinda ndoa..naamini jambo hili.likipangwa vema..Mr. ataelewa na maisha yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…