Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

Fafanua vizuri mkuu. Sijakuelewa.

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
1. Asimwambie Mumewe Ataharibu Amani Ya Ndoa yake, maana Moyo wa Mwanaume Si Wa Kusamehe Virahisi, Kwahiyo asije Jaribu kutoa Siri Avumilie Maumivu yake na Ajaribu kusahau Kwamba Ana Maambukizi

2. Atumie Dawa Vizuri na Asije Kuacha maana Mpka hapo Alipo ina Maana Dawa Zimesaidia Yeye kutomwambukiza Mumewe. Kwahiyo Anapoenda Kupima Damu Ahakikishe Majibu yake Yanasoma TND mara kwa Mara na Inapotokea Yamesoma Viral load kubwa Akae mbali na Mumewe Kwa Muda Asingizie hata Kitu chochote kile ili Asimpe Tunda ili Viral load ishuke.
 
Wewe umwombe Mungu tu and then mwambie. Ukweli utakuweka huru. Kuna mmoja alikuwa na hali kama ya kwako maana baada ya wote kupima mke alikuwa na ukimwi. Yule mwanamme alijua Mke wake anampenda sana na akimwacha ataweza kwenda kujiua. Akaamua kuishi naye na wakaendelea na maisha. Inawezekana kabisa akakusamehe na maisha yakaendelea. Ninakwambia tena mwombe Mungu wala usiwaze kujidhuru. Bado Mungu anapenda uishi.
 
Mwanachama #001

Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.

Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
Pole sana kwa changamoto hiyo Dada, naomba nikuulize, je unahisi uliipata wakati uko kwenye ndoa (kuchepuka) au kabla ya ndoa, au kwa njia yoyote ile, ukiweza kunijibu Fanya hivyo kuna ushauri nataka nikupe, hutonisahau.
 
Hebu ngoja kwanza, ni hospitali au kituo gani cha afya hicho ambacho wameamua kufikia maamuzi hayo ya kutomshirikisha mumeo??
 
Mwanachama #001

Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.

Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
"wala sikua na hulka ya kubadilisha mashinee tofauti zinazoingia kwenye k*m* yangu"

👆 Hapo tu
 
Kwa Tanzania yetu ni Sawa . ILA kwa ulaya it’s illegal . Na huyo muuguzi kavunja medical ethics yani kuweka ndoa mbele ya uhai wa mtu . Jamaa anaweza kumpeleka mahakamani na kushinda. Kama unampenda bora umwambie ukweli . Lakin ndo life …. Tu
 
Mwanachama #001

Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.

Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU lakini mume wangu hajui.
Unafikiri kwanini mpaka leo hajapata maambukizi wakati wewe ulishapata kitambo na unasex nae lakini hajapata mpaka sasa unaweza niambia sababu please ?
 
Usimwambie naisi ndyo kitakuwa kifo chako kikubwa Tumia dawa kama inavyotakiwa na jaribu kumfanya akuandae sna kabla ya mechi jipende na uwe Siri yako siku zote
 
Pole sana...

Hujamwambia ameonekana hana, pale utakapomuambia tu akienda kupima lazima akutwe nao maana kwa taarifa hiyo lazima kinga zake zishuke kwa kasi...
 
Back
Top Bottom