Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Mi mwenyewe siwezi nawashangaa sana mkuu 🌝 ..Ila broo hii baa tuloingia wamezidisha viungo πŸ˜‘
 
Mtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.

Endelea kuwapa hao wanawake zako hela. Sisi tunapambania nchi yetu dhidi ya ninyi mnaotumika kutakatisha fedha
 
Mtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.

Endelea kuwapa hao wanawake zako hela. Sisi tunapambania nchi yetu dhidi ya ninyi mnaotumika kutakatisha fedha
Tafuta hela
 
Kwamba??πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Unataka kuwaambia nini wanawake wa Jf,. Ila hii nchi hii khaaπŸ˜¬πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…