Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Ile Ford Ranger bado unayo
1726414590913.png
 
Mi mwenyewe siwezi nawashangaa sana mkuu 🌝 ..Ila broo hii baa tuloingia wamezidisha viungo 😑
 
Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.

Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.

Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.

Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
Mtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.

Endelea kuwapa hao wanawake zako hela. Sisi tunapambania nchi yetu dhidi ya ninyi mnaotumika kutakatisha fedha
 
Mtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.

Endelea kuwapa hao wanawake zako hela. Sisi tunapambania nchi yetu dhidi ya ninyi mnaotumika kutakatisha fedha
Tafuta hela
 
Kwamba??😃😃😃

Unataka kuwaambia nini wanawake wa Jf,. Ila hii nchi hii khaa😬😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom