Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Sawa Keyboard MasterTafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Keyboard MasterTafuta hela
Ile Ford Ranger bado unayo
Itaingia ondoa shakaKuna kipindi nilisikia umeagiza helcopter
Tafuta helaSawa Keyboard Master
Tafuta helaNew kidukulilo in JF.
Mtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.
Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.
Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.
Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
Tafuta helaMtego kututoa kwenye kulaani utekaji na mauaji ya raia.
Endelea kuwapa hao wanawake zako hela. Sisi tunapambania nchi yetu dhidi ya ninyi mnaotumika kutakatisha fedha
Natafuta uhuru kwanzaTafuta hela
Tafuta helaWaambie tu hao hao, wengine hatudanganyiki
Uhuru upo ndio maana Mimi pesa ninayoNatafuta uhuru kwanza
Wasiwe na wanaume masikiniKwamba??😃😃😃
Unataka kuwaambia nini wanawake wa Jf,. Ila hii nchi hii khaa😬😂😂😂🙌