Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Huwa nashindwa kujua umuhimu WA jf,celeb forum!kwani nini kinapaswa kupostiwa hapa????shida ya aliyeleta thread ikwapi?,,mana naona achambwa mwanzo mwisho!!,!,,!!kujadiliwa kwa celebs wakubwa Kama diamond,zari,na wengine ndio kazi ya hii forum!!,(iwe kwa ubaya ama kwa uzuri)..
 
Kwa walio wazuri katika kufikiria nina imani wameshaanza kustuka.....

Kama wazuri katika kufikiri ndo wanafikiri hivi, sitaki kuwa mmoja wao.
 
 
WE NAYE ?
 
Mapenzi ni yao kudanganywa tudanganywe sie! Hivi mfano ikiwa ni kweli wanatudanganya...inaleta madhara gani kwetu?
 
We hazikutosh kabisa unaweza kuigiza kulala na mke wa mtu kila cku
 
Mtoa Mazda huna kazi inaonekana maisha yako ni kufuatilia fulani kala nn anavaa nn.....amka tafuta au jiajiri uwe busy umbea sio dili
 
magufuli anasafari ndefu sana kufanikisha ndoto zake za tanzania ya viwanda kama vichwa vyenyewe ndomkama hivi anaviongoza ni shida aseee
 
We fala, wewe ungekuwa hutaki kujua ungecomment hapa!!?
We kiazi tafuta njia za kukuingizia kipato badala ya kupoteza muda wako kufuatilia maisha ya watu,umri unakwenda na hautorudi nyuma,wenzako wanawaza mambo ya kimaendeleo wewe unawaza kufuatilia mapenzi ya Diamond na Zari? Khaa! Huoni haya wewe?!! Try to mind ur own business.
 
Naona nimejikuta kwenye jukwaa la wanaume wenye mambo ya kike...mambo ya Diamond na Gold mimi ya nini!
 
Wish I knew ur gender. Hata km ndio celebrities this is too much...na unaowachimba hivi hawajui km huku duniani kuna mtu km ww ila ww unajua kuwa they exist. Na hapo usikute hujawahi hata kuwaona...pole
 
Tanzania ya viwanda, NSSF wekezeni kwenye kiwanda cha majungu na ubuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…