Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

Kulingana na UNESCO hadi mwaka 2015, kiwango cha watu wazima kusoma na kuandika cha ni 77.89% nchini Tanzania. Wakati kiwango cha wanaume kusoma na kuandika ni 83.2%, kwa wanawake ni 73.09%, kuonyesha pengo kati ya jinsia.

Kwa mujibu wa taarifa nyingi zilizopo ni kwamba Tanzania imeshuka kwa zaidi ya 10% kulinganisha na kiwango kilichokuwepo miaka ya 70. Ripoti zinasema Tanzania ilikuwa na literacy rate ya kwenye 90% ambacho ni kiwango cha juu sana kwa nchi. Kwa ufupi bongo kwa miaka hiyo watu karibu wote walikuwa wanajua kusoma na kuandika. Hakika serikali ya Mwalimu iliupiga mwingi.

Nimeanza na utangulizi huo uliokaa kisomi ili sasa nieleze kwanini nimeandika huu uzi. Kwa muda mrefu kuna nimekuwa nikikerwa mno na jinsi watu wengi wanavyoshindwa kuandika vizuri maandishi yao bila kukosea. Matumizi yasiyo sahihi herufi "L" na "R" yamekuwa changamoto kubwa. Isitoshe mtaani tunamoishi kuna watu wengi sana wasiojua kuandika kabisa wala kusoma. Wala halihitaji sana utafiti kujua kwamba kuna hili tatizo.

Mitandao ya kijamii imesaidia sana kujua ukubwa wa tatizo. Watu wengi mno ukisoma comments na captions zao utapandwa na jazba mno. MwanaJF FaizaFoxy huuliza kwamba huko shuleni ulienda kusomea ujinga? [emoji1787][emoji1787]. Watu maarufu wengi hasa wanamuziki na wanafilamu/maigizo (bongo movie) wamekuwa vinara wa maandishi yaliyokosewa kuandikwa iwe kiswahili au kiingereza. Ukitembelea mtandao wa Facebook ndo utaona maajabu mengi hadi unatamani watu wanyang'anywe simu na kurudishwa darasani kwa lazima.

Mimi nashauri wazazi wawafuatilie watoto wao toka wakiwa wadogo ili kujenga mtanzania ambaye hatatia aibu kwa kushindwa hata kuandika na kusoma lugha ya kiswahili. Waalimu nao wasiwe nyuma kutimiza wajibu wao. Wale waalimu wa zamani wa mwandiko darasa la kwanza na la pili bado wapo? Serikali nayo ifuatilie kila kitu kwa karibu sana kwa sababu kwa ninayoyaona mtandaoni huenda tumeshashuka tena.
Hata wanaojua kusoma, wengi hawajui kusoma kwa ufahamu.

Mifano ni mingi sana katika mijadala ya JF.
 
Sasa wewe kuishi "vtema" kivyako ni kuwa bila dini, mimi kuishi vyema kwangu ni kuuishi Uislam wangu. Wewe kinakutatiza nini hapo? Kwani uone kero Uislam wangu?

Kwanini uone kero tukikwambia hata jina la TANU aliyelibuni ni Muislam? Kwanini uone kero tukikwambia Waislam ndio wenye historia kubwa na ya miaka mingi sana ardhi hii? Tukikwambia hata vita ya maji maji ilikuwa ni "resistance" ya Waislam kukataa kutawaliwa?

Wewe usiye na dini si leta historia yako, ulikatazwa? Na kama ni Mkristo historia yako itaanzia ujio wa mzungu na itashia kwa mzung. Bisha!
Tatizo lako unapanick bila sababu ya msingi!!
Wapi nimekwambia mimi ni mkristo??
Wapi nimebeza kuishi kwako vyema?
Wapi nimebeza huo uislamu wako?

Aisee nahisi roho yako inapata maksiriko sana unapobanwa uelezee kiundsni hizo historia zako.

Bado nakukumbusha ishu yangu uliyogoma kujibu kuhusu Tanganyika na Zanzibar!!

Karibu.
 
Wewe unanshangaza sana. Hivi utamaduni ulionao sasa hivi, hata wa kuongea Kiswahili huujuwi ni wa wapi?

Hata neno 'Ustaarabu" unaelewa maaana yake?
Pole sana,unaonesha hujielewi kabisa? Kwenu ni hii hii Tanganyika? Sasa nambie hilo jina Tanganyika asili na maana yake yake ni nini au limetokea wapi?
😀😀😀😀 FaizaFoxy unafirahisha sana jinsi unavoumba majibu yako.

Wewe ndio uliesema Tanganyika yote ilikua Zanzibar.
Nimekuuliza maswali kadhaa hapo juu ili nipate ufafanuzi toka kwako ulietoa hiyo kauli ili nipate maarifa mapya, bahati mbaya sana wewe unahisi umeshambuliwa, unaleta majihu ya hovyo vilevile.

Huko chuo kwenu hamkufunzwa kujibu hoja bali kushambulia kwa maneno tu(vichambo).

Hebu fafanua Tanganyika ilikuaje Zanzibar sio ulete porojo tena hapa.
 
Tatizo lako unapanick bila sababu ya msingi!!
Wapi nimekwambia mimi ni mkristo??
Wapi nimebeza kuishi kwako vyema?
Wapi nimebeza huo uislamu wako?

Aisee nahisi roho yako inapata maksiriko sana unapobanwa uelezee kiundsni hizo historia zako.

Bado nakukumbusha ishu yangu uliyogoma kujibu kuhusu Tanganyika na Zanzibar!!

Karibu.
Hapo nimekujibu kama huna dini au u Mkristo. Mimi I dont care, uwe usiwe Mkristo ni matakwa yako. Swali la msingi ni kuishi kwangu "vyema" unataka niishi kama wewe usiye na dini? NImekwambia kinaga ubaga, kuishi kwangu vyema ni kuuishi Uislam wangu. Nini kinakukerea hapo?

Sasa ulichokibana nini hapao? Labda ushuzi wako tu.

Wewe unahamisha magoli kwa kuwa hauna historia yoyote katika nchi hii, uwe au usiwe Mkristo, simply huna tu.

Naona kutajwa TANU na kuwa imeanzishwa na Waislam na hata jina walitoa Waislam imekuuma sana hiyo.

Dar us Salaam, jina la jiji kuu Tanzania, ni jina lililotokana na Chuo cha Waislam pale ilipokuwepo Ikulu hivi sasa.

Unataka ushahidi? Huu hapa, miaka michachache nyuma niliweka uzi huu, upitie: Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam
 
Hapana, hatulazimishi kitu, tunaandika ukweli ambao wewe huupendi. Kama tumesema uongo wewe weka ukweli uujao na sisi tuta prove kuwa huo ukweli wako ni ujinga uliojazwa nao na waliokugawa wakutawale. Na kwa akili kama zako utatawaliwa maisha, Hilo kumbuka.

Dini ni njia, njia ipi? Simpo. Ni njia ya kufata ili uishi vyema na ikufikishe kwenye mwisho mwema, sasa wewe kama huna dini, maana yake ni kuwa hauna njia ya kufata. Ni juha tu. Simpo.

Pamoja na yooote hayo, lakini bado mtume yupo kwenye hilo kundi unalolikejeli hapa…. hakuwahi kujua kusoma na kuandika.
 
😀😀😀😀 FaizaFoxy unafirahisha sana jinsi unavoumba majibu yako.

Wewe ndio uliesema Tanganyika yote ilikua Zanzibar.
Nimekuuliza maswali kadhaa hapo juu ili nipate ufafanuzi toka kwako ulietoa hiyo kauli ili nipate maarifa mapya, bahati mbaya sana wewe unahisi umeshambuliwa, unaleta majihu ya hovyo vilevile.

Huko chuo kwenu hamkufunzwa kujibu hoja bali kushambulia kwa maneno tu(vichambo).

Hebu fafanua Tanganyika ilikuaje Zanzibar sio ulete porojo tena hapa.
Nfafanue nini wewe, wewe jiulize Tanganyika ilikuwa nini kabla haijawa Tanganyika, kama huelewi, jifunze kutumia google search, tafita Zenj Empire ni nini hiyo.
 
Hata wanaojua kusoma, wengi hawajui kusoma kwa ufahamu.

Mifano ni mingi sana katika mijadala ya JF.
Hata maandiko yao ni mabovu kabisa.

Unakuta mtu anaandika hamna aya, hamna herufi kubwa, makosa mengi ya kitahajia, hakuna alama za maandishi kama koma, nukta, alama ya kuuliza, n.k,.

Hata wale walio na elimu za juu, wanaandika sawa tu na wale walio na elimu za chini!

Na huna haja ya kwenda mbali ili kuyaona hayo.

Hapa hapa tu JF, wamejaa kibao.
 
Hapo nimekujibu kama huna dini au u Mkristo. Mimi I dont care, uwe usiwe Mkristo ni matakwa yako. Swali la msingi ni kuishi kwangu "vyema" unataka niishi kama wewe usiye na dini? NImekwambia kinaga ubaga, kuishi kwangu vyema ni kuuishi Uislam wangu. Nini kinakukerea hapo?

Sasa ulichokibana nini hapao? Labda ushuzi wako tu.

Wewe unahamisha magoli kwa kuwa hauna historia yoyote katika nchi hii, uwe au usiwe Mkristo, simply huna tu.

Naona kutajwa TANU na kuwa imeanzishwa na Waislam na hata jina walitoa Waislam imekuuma sana hiyo.

Dar us Salaam, jina la jiji kuu Tanzania, ni jina lililotokana na Chuo cha Waislam pale ilipokuwepo Ikulu hivi sasa.

Unataka ushahidi? Huu hapa, miaka michachache nyuma niliweka uzi huu, upitie: Rais Magufuli, ni wakati muafaka "Ikulu" irudishwe kwa wenyewe, Waislam
Aisee nilikua naheshimu sana comments zako humu, nikijua ni muislam ambae unaweza hata kuomba ushauri kwake ila daah umenihuzunisha sana.

Hiki ulichoandika ni ujinga wa kiwango cha juu, mdogo wangu ni muislam kama wewe ila hawezi andika huu upupu wako hapa hata ukimkashifu kuhusu dini yake(japo wewe wala sijaikashfu dini yako wala wewe mwenyewe).

Narudia tena swali langiu, ila kama huwezi kulijibu sema tu mi nitaelewa. Hayo mambo ya Tanu na Ikulu wala sijafikia kuyauliza , mimi nimeomba uhusiano kati ya Tanganyika na Zanzibar kama ulivyoandika hapo awali.
Naona wewe unahamisha mada kwenye tanu sijui ikulu mara historia sina na blah blah kibao em nijibu hilo tu kwanza tutaendela.
 
Nfafanue nini wewe, wewe jiulize Tanganyika ilikuwa nini kabla haijawa Tanganyika, kama huelewi, jifunze kutumia google search, tafita Zenj Empire ni nini hiyo.
Acha historia yenu ifutwe kama nyie mnao preserve hiyo historia wala hamjari.

Hivi unajielewa kweli mkuu, mi nahisi hauko sawa.

Leta vithibitisho basi, hivi kweli msomi unaniambia nigoogle, msomi wa wapi wewe unaeiamini google kiasi hicho?
Nadhani umesoma kipindi google haipo na hata ilipokuja wala hukutaka kujua kuihusu badala yake ukawa unaitumia kupata maarifa mfu tupu.

Lete source ya uhakika basi, unaniangusha sana FaizaFoxy sikutegemea kama wewe upo namna hii.

Muislam wa wapi wewe aisee.
 
Nakwambia u googe. Usipende kila kufanyiwa kijana. Yatakushinda, utabaki kuwa tegemezi daima. Lakini kwa kuwa umeshalemaa, ntakusaidia, unataka ushahidi upi? Hivi wewe hata Historia ya kwenu huijuwi?

Kuna historia ya hapa kwetu ipo humuhumu Jamii Forums, ingia jukwaa la historia. Nafahamu hata hiyo ni kuhali kwako.

Hapa nakupa kidogo ujisomee, labda utafungua akili zilizofungwa: Miaka 130 ya mkutano wa Berlin ulioigawa Afrika | DW | 26.02.2015
 
Hivi unaelewa??

Ndio maana nikashangaa msomi wa wapi unaniambia nigoogle!!
Em jaribu kuweka source za habari zako kisomi.

Weka link ya kitabu sio google, nna wasiwasi na hiyo elimu yako ambayo mwalimu wako alikwambia ukitaka maarifa basi ni kugoogle.

Sishangai hicho ulichokalilishwa pia umekipata huko google. Pole sana.

Jaribu kuingia jamii intelligence walau kuna nyuzi kibao wenzako wamesite vitabu vya kusoma kuthibitisha wayasemayo na siyo google unayoiamini wewe muislam usie na maarifa kichwani.

Mpaka kufikia hapa FaizaFoxy wewe ni mweupe kichwani.
Hujibu hoja unakimbia kimbia tu.
Waislam wamelamba galasa kua na muumini type yako.
Kua makini vikundi vya kigaidi huwatumia watu weupe kichwani kama wewe kupandikiza chuki mpaka kujilipua na kua waasi. Kaa chonjo wanajf tunakupenda.
 
Nakwambia u googe. Usipende kila kufanyiwa kijana. Yatakushinda, utabaki kuwa tegemezi daima. Lakini kwa kuwa umeshalemaa, ntakusaidia, unataka ushahidi upi? Hivi wewe hata Historia ya kwenu huijuwi?

Kuna historia ya hapa kwetu ipo humuhumu Jamii Forums, ingia jukwaa la historia. Nafahamu hata hiyo ni kuhali kwako.

Hapa nakupa kidogo ujisomee, labda utafungua akili zilizofungwa: Miaka 130 ya mkutano wa Berlin ulioigawa Afrika | DW | 26.02.2015
Faiza Faiza Faiza nimekuita mara tatu kabisa.
Hiyo link uliyoweka hapo ndgu yangu hivi inaendana na unachotetea kweli??

Nilitegemea kukuta Tanganyika/zanzibar basi walau uislam ndani yake lakini holaa.

Nani asieujua huo mkutano ulivoigawa Africa 😀😀😀😀. Ila we dada sijui mama unshangaza sana.

Bora ambavo huwa unacomment mara moja ila hii kuleta mijadala mirefu unathibitisha ujinga wako😀😀.

Kaa kimya kuficha hiyo hali mpaka pale utakapopata ahueni.
 
Baadhi ya vibao vya anuani ya makazi vinathibitisha hilo

Kiingereza kidogounaweza msamehe mtu akichapia

ila Kiswahili mtu akikosea nakosa imani na uelewa/shule yake kabisaa

Imagine mtu ugali anatype 'ugari' ila anatamka ugali..cant he even match matamshi..?illiterate
 
Nakwambia u googe. Usipende kila kufanyiwa kijana. Yatakushinda, utabaki kuwa tegemezi daima. Lakini kwa kuwa umeshalemaa, ntakusaidia, unataka ushahidi upi? Hivi wewe hata Historia ya kwenu huijuwi?

Kuna historia ya hapa kwetu ipo humuhumu Jamii Forums, ingia jukwaa la historia. Nafahamu hata hiyo ni kuhali kwako.

Hapa nakupa kidogo ujisomee, labda utafungua akili zilizofungwa: Miaka 130 ya mkutano wa Berlin ulioigawa Afrika | DW | 26.02.2015
Nakwambia u googe. Usipende kila kufanyiwa kijana. Yatakushinda, utabaki kuwa tegemezi daima. Lakini kwa kuwa umeshalemaa, ntakusaidia, unataka ushahidi upi? Hivi wewe hata Historia ya kwenu huijuwi?

Kuna historia ya hapa kwetu ipo humuhumu Jamii Forums, ingia jukwaa la historia. Nafahamu hata hiyo ni kuhali kwako.

Hapa nakupa kidogo ujisomee, labda utafungua akili zilizofungwa: Miaka 130 ya mkutano wa Berlin ulioigawa Afrika | DW | 26.02.2015
Huko Masjid Qubah mnajazana ujuha na ujinga tu.

“googe” ndo nini?
 
Unaumwa wewe!

Chuo cha Dar es salaam kilijengwa wakati WA ukoloni wa muingereza, tena ilikuwa College tuu.

Waarabu hawakuwahi kujihusisha na mambo ya Elimu hapa Tanzania,
Walijihusisha na biashara, utawala na mambo ya kidini.

Kuhusu Ikulu hiyo ni nje ya Mada.

Nimekuambia utaje ni shule ipi au Chuo kipi kilijengwa na Waarabu naona huna unachojua unakalia kuongea maneno ya vijiweni sidhani hata hicho Chuo ulichokitaja umekisoma licha ya kuwa kipo katika miji yenu.

Tatizo lako Faiza umekuwa mlevi WA Imani yako ndio maana kila kitu unaongea Kama Mlevi wa pombe, unazungumzia ushabiki.
😂😂😂 Amelewa na wanzuki ya madrasa
 
Back
Top Bottom