Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.