Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
kumbe GSM matajiri sanaMtashindwaje wazee wa bahasha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe GSM matajiri sanaMtashindwaje wazee wa bahasha?
Wakisikia hivi wanatukana kimoyomoyo.Mkuu hebu ondoa wasiwasi, huo ndio ukweli wenyewe sasa. Anza kuuzoea mapema usije ukafa kwa presha.
Mwaka huu uto anamaliza bila kombe wala kijiko
Okay kwahio hayo matokeo yapo upande mmoja tu? wakati Yanga anapoteza Simba yeye ana shinda tu?Yanayotokea kwa Arsenal unayafuatilia lakini?? Mwenzio jana Dr Matola PhD kasema mpira una matokeo matatu, kushinda, kushindwa na kutoka sare, ila wewe unaonesha kama vile mpira una matokeo ya aina moja tu, yaani Yanga kushinda!!
Haijulikani!! Kwa kuwa haijulikani basi si sawa kusema kwa hakika ni timu gani itakuwa Bingwa.Okay kwahio hayo matokeo yapo upande mmoja tu? wakati Yanga anapoteza Simba yeye ana shinda tu?
Ww sio mwananchi Kam kocha kasema anachukua ubingwa na ww huamini ww ni koloMimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Yanga atafungwa na Singida big stars halafu atatoka sare na Prisons hivyo kupoteza pointi 5. Simba atashinda mechi zote nne, hivyo watalingana pointi. Simba ana magoli mengi na amefungwa kidogo! Hivyo Simba atabeba ndoo!!Yanga sio Azam wala Namungo. Kufungwa jana na makolo haiwezi kupelekea kupoteza uelekeo wa kuchukua ubingwa wa NBC PL na hata FA.
Ikiwa Hivyo GSM Atakimbia MbaliYanga atafungwa na Singida big stars halafu atatoka sare na Prisons hivyo kupoteza pointi 5. Simba atashinda mechi zote nne, hivyo watalingana pointi. Simba ana magoli mengi na amefungwa kidogo! Hivyo Simba atabeba ndoo!!
Hahahaaa.. Endelea kuota hii dunia ya sasa watu kama wewe mtaishi kwa tabu sanaYanga atafungwa na Singida big stars halafu atatoka sare na Prisons hivyo kupoteza pointi 5. Simba atashinda mechi zote nne, hivyo watalingana pointi. Simba ana magoli mengi na amefungwa kidogo! Hivyo Simba atabeba ndoo!!
Kuna jamaa anaitwa Tate Mkuu anachukia hadi tangazo la Azam tv.
Azam Tv.......Burudani kwa Wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila akisikia hili tangazo anamuona Kibu Dii akipeleka fataki ya mauaji kwa Diara
Ya Singida mtashinda. Lile Ni tawi lenu. Yanga B.Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Makolo waki pigwa za kutosha na wydad lazima warudi waliko toka wapoteane kwanza
Lilikuwa sio kali kama la Kibu kwa Diara. Lile halikuwa fataki tena ni kombora la nyuklia.Hv fataki la Aziz Ki kwa Manula lilikuwaje vile???