Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Lazima umshughulikie kama nzi kisha uendelee na maandaliz yakoMuingiliano wa ratiba mtu unajiandaa na Wydad mara anakatiza nzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima umshughulikie kama nzi kisha uendelee na maandaliz yakoMuingiliano wa ratiba mtu unajiandaa na Wydad mara anakatiza nzi.
Ndo maana narudi palepale nyie endeleeni kua Choo sijui chuo Sisi Yanga ni Ubingwa tu ndo hua lengo letu Mengine tumewaachia nyie wazee wa Kujisifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa anaitwa Tate Mkuu anachukia hadi tangazo la Azam tv.
Azam Tv.......Burudani kwa Wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila akisikia hili tangazo anamuona Kibu Dii akipeleka fataki ya mauaji kwa Diara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lilikuwa sio kali kama la Kibu kwa Diara. Lile halikuwa fataki tena ni kombora la nyuklia.
Kocha wa Simba kaamua kuirahishia Yanga ubingwaMimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kuwa leo Simba wamepanga kikosi dhaifu ili Focus yao iwe kwenye kombe la FA dhidi ya Azam FcMimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Mzee tayari Namungo mmeshamuwasha nyingi tu kama ulivyotabiri.Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Game za Mbeya ni ngumu sana kutokana na pitch mbovu, hawa Mbeya City na Prison wana tofauti ya point ndogo sana na team zilizo ktk mstari wa kushuka daraja hivo basi game na Yanga ni muhimu sana kwao ili wasishuke.
Tukumbuke Simba game 4 za mwisho ni game moja tu ndo atakua away dhidi ya Namungo tena kwenye pitch safi hivo Simba hawezi poteza huko, game tatu zote dhidi Ruvu, Coastal na Polisi zitakua hapa Dar hivo kiuhalisia Yanga tuna wakati mgumu sana tuombe mambo yasiharibike.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Maisha haya konyo [emoji23][emoji23]Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kuwa leo Simba wamepanga kikosi dhaifu ili Focus yao iwe kwenye kombe la FA dhidi ya Azam Fc
Wakati huo huo Yanga kwa sasa Focus yao ni mechi ya Nusu Fainali mashindano ya CAF?[emoji851]