Subiri mvua ya matusiMimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka singida anatofautina na azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Gsm atavunja kibubu usijali pesa itatembea tu lazima ubigwa..Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo nyumbani. Game dhidi ya singida tutakua away kumbuka Singida anatofautina na Azam point 1 tu hivo lazima wakaze ili kumaliza vizuri nafasi ya 3.
Tena na hizi mvua ikitokea huko mkoani ndo hatari zaidi maana hivo viwanja mpira hautembei.
Hakuna cha ajabu hapo, kama wao wamekaa misimu minne Bila ubingwa, yaani mtoto anaanza kidato cha kwanza mpaka cha nne timu haijanusa ubingwa, lazima wagawe bahasha ili wachukue, tunajua mbinu zao wanasiasa, lazima timu moja idhoofishwe ili moja iwe juu, "wao ndo wanashindana na Hawa na wala si Hawa kushindana na wale"Yangwa lengo letu NI ubingwa tu hayo mengine waachie wazee wa robo Fainali
Tulia dawa ikuingie...Hakuna cha ajabu hapo, kama wao wamekaa misimu minne Bila ubingwa, yaani mtoto anaanza kidato cha kwanza mpaka cha nne timu haijanusa ubingwa, lazima wagawe bahasha ili wachukue, tunajua mbinu zao wanasiasa, lazima timu moja idhoofishwe ili moja iwe juu, "wao ndo wanashindana na Hawa na wala si Hawa kushindana na wale"
Uzuri "BM" alishawambia, Chuo cha mpira kiko wapi, nadhani bado una maumivu, Aliyekua kupoteza na kupata ni kawaida tu, siyo kujiaminisha timu ni nzuri kumbe ni fluke tu.Tulia dawa ikuingie...
Unazani kama mnavomuhonga Yule mama yenu wa Jana awape magoli ya offside na mipira iliyotoka nje n wote?
Lengo la Yanga ni ubingwa tu nyie mkiishia robo Fainali inawatosha
Ndo maana narudi palepale nyie endeleeni kua Choo sijui chuo Sisi Yanga ni Ubingwa tu ndo hua lengo letu Mengine tumewaachia nyie wazee wa KujisifuUzuri "BM" alishawambia, Chuo cha mpira kiko wapi, nadhani bado una maumivu, Aliyekua kupoteza na kupata ni kawaida tu, siyo kujiaminisha timu ni nzuri kumbe ni fluke tu.
Ile ya Diarra akiwa chini imetisha kuliko hizo