Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

Ndo maana narudi palepale nyie endeleeni kua Choo sijui chuo Sisi Yanga ni Ubingwa tu ndo hua lengo letu Mengine tumewaachia nyie wazee wa Kujisifu
Kumbuka una mechi 2 kule kwenye majaruba ya mpunga, ambako Ihefu alikutemesha "bungo"
 
Gsm atavunja kibubu usijali pesa itatembea tu lazima ubigwa..
Cha msingi waendelee na hesabu zao za kila mechi wanafunga goli.

Wakifika kwenye mechi na Simba lazima tu reset the whole calculation to the default
 
Baada ya hizo mechi mtakua mnawalaumu marefa...
Mara nyingi tumebebea ubingwa huko...
Sisi Yanga tunachowaza ni ubingwa tu
Hatutawalaumu kwasababu tumeshawazoea
 
Tulia dawa ikuingie...
Unazani kama mnavomuhonga Yule mama yenu wa Jana awape magoli ya offside na mipira iliyotoka nje n wote?
Lengo la Yanga ni ubingwa tu nyie mkiishia robo Fainali inawatosha

Basi tufanye moja bila
 
Hapanaaa Yanga atakua bingwa, GSM atatembeza bahasha hadi marefa wasemee inatoshaaa.
 
jana tungeshinda tu. tungekuwa mabingwa, hii inaashiria nn?
 
ASA MTU ANACHEZA MECHI 50 HAFUNGWI SIKU AKIFUNGWA LAZMA AWE VILE
 
Ushindwe kuwa na wasi wasi na Simba inayo zidiwa points 5 una pata na wasi wasi na Yanga
 
Huo uwanja ni mpya kwetu? Mwaka jana tulichukua ubingwa mechi zote tuli cheza dar?
Yanayotokea kwa Arsenal unayafuatilia lakini?? Mwenzio jana Dr Matola PhD kasema mpira una matokeo matatu, kushinda, kushindwa na kutoka sare, ila wewe unaonesha kama vile mpira una matokeo ya aina moja tu, yaani Yanga kushinda!!
 
Mkuu hebu ondoa wasiwasi, huo ndio ukweli wenyewe sasa. Anza kuuzoea mapema usije ukafa kwa presha.

Mwaka huu uto anamaliza bila kombe wala kijiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…