Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

Kuna jamaa anaitwa Tate Mkuu anachukia hadi tangazo la Azam tv.

Azam Tv.......Burudani kwa Wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kila akisikia hili tangazo anamuona Kibu Dii akipeleka fataki ya mauaji kwa Diara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha wa Simba kaamua kuirahishia Yanga ubingwa
 
Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kuwa leo Simba wamepanga kikosi dhaifu ili Focus yao iwe kwenye kombe la FA dhidi ya Azam Fc

Wakati huo huo Yanga kwa sasa Focus yao ni mechi ya Nusu Fainali mashindano ya CAF?[emoji851]
 
Mzee tayari Namungo mmeshamuwasha nyingi tu kama ulivyotabiri.
Sasa tunamsubiri yanga apoteze zote ili utabiri uchwara utimie kamanda.
 
Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kuwa leo Simba wamepanga kikosi dhaifu ili Focus yao iwe kwenye kombe la FA dhidi ya Azam Fc

Wakati huo huo Yanga kwa sasa Focus yao ni mechi ya Nusu Fainali mashindano ya CAF?[emoji851]
Maisha haya konyo [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…