Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Ila wadada wajanja sana🤣🤣
Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia,
pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe kufariki baada ya kumlisha mafuta mafuta mengi apate ugonjwa wa moyo adanje, arithi mali za bwana yule.
Na akisha rithi hizo pesa anarudi tena kitambaa cheupe kutamba na vijana wadogo.
Akimalizana nao ,tenan anakuja JF kuandika mwanaume wa 45+ awe ana kazi na nyumba🤣