Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

Hao ni ma black widow
Wasiwasi wako ni sahihi 💯na atakupiga matukio Kila siku hadi uende mbele za haki siku ya msiba analia kuliko kawaida kigiza kikiingia anaenda kugongwa kama kawaida
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom