Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Ila wadada wajanja sana🀣🀣

Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia,

pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe kufariki baada ya kumlisha mafuta mafuta mengi apate ugonjwa wa moyo adanje, arithi mali za bwana yule.

Na akisha rithi hizo pesa anarudi tena kitambaa cheupe kutamba na vijana wadogo.

Akimalizana nao ,tenan anakuja JF kuandika mwanaume wa 45+ awe ana kazi na nyumba🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…