Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

Hahahaa! Noma sana
 
Ukidate na binti huyo umehaidi kumuoa halafu mdanganye, lazima tunguli zihusike atakunyoosha.Wanapresha ya ndoa, kuna wengine hufikia hatua ya kujilipia mahali. Mara nyingi huangukia kwa wahuni.
 
🀣 🀣 kumbe watu wanalishwa ammfuta kwa lazima
 
Wapweke tuko wengi babu!
Hatuna jinsi.
Wacha watumie fursa iliyopo!
 
Hao ni ma black widow
Wasiwasi wako ni sahihi πŸ’―na atakupiga matukio Kila siku hadi uende mbele za haki siku ya msiba analia kuliko kawaida kigiza kikiingia anaenda kugongwa kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…