Nina wasiwasi na mke wangu...


Sawa mkuu nimekuelewa shukrani
 
Mimi ni mwanamke,na alichokifanys huyo dada sio sawa na Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba anamdanganya mumewe Wala hakuitwa na ndugu zake Kama alivyosema,ninachomshauri huyo Kaka Kama ana namba za huyo dada yake mmoja(shemeji) ampigie simu amuulize kuwa mkewe anarudi lini,ajifanye hajui chochote,au mbinu nyingine yyte itakayomfanya huyo shemeji yake ajue kuwa mdogo wake hakuwa nyumbani,japo wakati mwingine huwa wamepanga yy na dada yake,na inawezekana ndo anamuuza mdogo wake,but anyway hebu jaribu kufanya hivyo usikie majibu yake,pole Sana mkuu
 
Halafu akishajuwa ukweli anafanyaje?
 
Mkuu hujasoma kwa kutulia, ni kwamba mke hajaondoka bila ruhusa ila jamaa mistake aliyoifanya ni kumruhusu mkewe bila kujiridhisha umuhimu wa hiyo safar..na ndani ya hii safar Kuna mapicha picha mengi ambayo yanaongeza sintofahamu. Dah...pole kwa jamaa japo mzembe flani iv
 

Nikweli wananijua wote lakini hii safari ni mimi ndo nimeitilia mashaka mkuu
 
Hao dada zake unawajua?
Na uliongea nao hata kwa simu kupata ukweli?

Nawajua ni shemeji zangu nafikiri nilipokosea nipale nilipo hitaji aende kwanza then ndo akirud nimkalishe chini anieleze kwa kina kulikuwa na shida gani sikumuacha tu aende ila nilikuwa nina mahesabu kichwani pia
 
Ulitakiwa umkazie asiende kokote, mie nilishakamataga mtu kwa visingizio hivyo hivyo vya dada sijui ndugu. Mwisho wake nilifunga jalada.

Nikweli mkuu lakini nilimwacha endelea ili akirudi nimweke chini anieleze vizur
 

Sawa mkuu shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…