Nina wasiwasi na mke wangu...

Nina wasiwasi na mke wangu...

Sasa kama alijua anasafiri, ikawaje tena akachelewa kutoka mpk akalala dodoma.
Hapo kuna walakini
 
"Watu wamefanya importation 😂😂"

☝️☝️ puuzia maneno hayo hapo juu , mkuu usiwe na mawazo hasi kila muda si vizuri kwa afya yako umefanya jambo la maana kutomuuliza maana inaweza kuwa unamuhukumu tu bure.
 
Sikiliza, shika hiki nachokwambia, wanawake wamekua ni MALAYA sana(siyo wote) akirudi mgeuzie sura na uvae sura ya kiKurya ukimhoji kama una uhakika na jambo baya amaefanya, fungasha mpaka mabegi yake aondoke uone, nakwambia utamsikia anaongea yote... Kwa kifupi huyo ameshaliwa na bwana mwingine, na Wala hakufai tena, wakati mwingine hutamshika mkeo ugoni ila unaweza kujilidhisha na ushahidi wa kimazingira, tena hawa wanawake wanaotoka asbh na wao wanaenda kazini na kurudi jioni, ogopa sana... Kuliko kua na mwanamke anayekuchit ni afadhari ukae peke yako, nauhakika huyo ameliwa na wewe hufai tena kwake ila yupo kama kivulini tu.

Daah sawa mkuu nimekuelewa shukrani
 
Dah..! Yaani umemaliza kila kitu utadhani umesoma mawazo yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mleta mada anaonekana ni mdebwedo yaani mzembemzembe halafu sio mjanja kivile yaani mke alishamsoma jamaa ni boya

Haya bhana wakuu
 
Mapenzi yanaumiza sana,mie kuna binti nipo nae kwenye mahusiano ni Mwaka sasa-anaishi na Dada yake huwa ananieleza hawezi kutoka kwai mwisho kutoka kwao ni SAA 12 jioni.Mungu sio mzee mkumba Jana nimekutana nae katika grocery moja mida ya SAA 4 usiku akiwa na majamaa 2.Badaye namuuliza ananiambia ni marafiki zake kwa kweli nilihisi kuzimia mwili wote ulikosa nguvu ,Leo siku nzima sijalala kwa kweli.

Daah pole sana kiongoz
 
Ndo tatizo la innocent people, mpole poleee, kila kitu jibu ni sawa...Jambo kama hulitaki mwambie mkeo HAPANA SITAKI, unasema sawa huku unaona si sawa? Utaishi maisha ya huzuni sana.

Sawa mkuu nimekuelewa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama unampenda sana, na huwezi kumuacha; usiangaike kumuuliza chochote, wewe akija mpelekee moto maisha yaendelee.
Kwa sababu, itakuwa haina maana ya kumuhoji, huku ukiwa hauna uwezo wa kufanya maamuzi magumu itakuwa sawa na kupiga kelele tu.
 
Next time unapoambiwa nimeitwa nyumbani mwambie aliekuita ndio akuoigie simu akuombee ruhusa na akuoe sababu ya kutaka mkeo aende kwao.
Pia akifika huko aendako walioko nae wakupe mrejesho.

Kuna mmoja aliaga anaenda Mwanza kutoka Dar kumbe yupo hapo Victoria kwenye jengo refu kama unaenda Kairuki hospital anagongwa na wanaigeria for seven days.

Wakware wakamuona na nakumpa jamaa taarifa na ukweli ndoa iliishia hapo. Hivyo kwa hali ya sasa verifications muhimu.

Daah yaan hayo maumivu ya jamaa nahsi mbaka mimi naya sikia maana hiyo stor hapana wazee unaweza ukapiga mtu risasi
 
Ungemwambia tu usiondoke leo ondoka kesho moja kwa moja dar. Kingine mpigie sister ake muulize kwa kumtega,vipi wazima huko?. Wife anataka kuja huko ni kwema. Wasikie wanasemaje

Sawa kiongoz wangu
 
Sasa umeshindwa hata kuwauliza hao shemeji zako? Kama kweli aliitwa huko Singida.

Nikweli walikuwa na shida nae lakini nahsi kaka hiyo safari kuna kitu pia ukiachana na kwenda kwa dadazake
 
Yaani Dar to Singida, kaitwa na dada zake then hajashinda hata siku moja kesho anageuza, safari ya karibu km 550, alafu kwenda na kurudi kashuka dodoma!!!!!!! Then gari zimejaa hakuna usafiri, ghafla inapatikana gari ya dodoma!!¡!!! Mbona ni rahisi ku predict kwamba hakusafiiri hakua mbali na hakua nje ya mkoa!!!!
 
Hapo kabla ya kuanza kutafakali la mkeo
Hebu tuanze kukutafakali wewe!
Mwanamke hafanyi tu bila ya reflection ya mume wake
Wewe na yeye nani mkuu wa kaya?

Ok uliwasiliana na dada yake?
Inakuaje dada yake aongee na mdogo wake baada ya kuongea na wewe? Wewe si umeowa kwao?

Mkuu si doubt na kwa dadazake ila shida ni hapo Dodoma ndo tatizo kwao nikweli alienda na nilihakikiasha ilo kuwa kafika mkuu
 
Back
Top Bottom