Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Yaniii!! Inashangaza!Unaishi vp na mkeo mzee
Au yy ndiye mkuu wa kaya
Mwanaume inatakiw ww ndiy uamue asafir au asisafiri
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaniii!! Inashangaza!Unaishi vp na mkeo mzee
Au yy ndiye mkuu wa kaya
Mwanaume inatakiw ww ndiy uamue asafir au asisafiri
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Sikiliza, shika hiki nachokwambia, wanawake wamekua ni MALAYA sana(siyo wote) akirudi mgeuzie sura na uvae sura ya kiKurya ukimhoji kama una uhakika na jambo baya amaefanya, fungasha mpaka mabegi yake aondoke uone, nakwambia utamsikia anaongea yote... Kwa kifupi huyo ameshaliwa na bwana mwingine, na Wala hakufai tena, wakati mwingine hutamshika mkeo ugoni ila unaweza kujilidhisha na ushahidi wa kimazingira, tena hawa wanawake wanaotoka asbh na wao wanaenda kazini na kurudi jioni, ogopa sana... Kuliko kua na mwanamke anayekuchit ni afadhari ukae peke yako, nauhakika huyo ameliwa na wewe hufai tena kwake ila yupo kama kivulini tu.
Mapenzi yanaumiza sana,mie kuna binti nipo nae kwenye mahusiano ni Mwaka sasa-anaishi na Dada yake huwa ananieleza hawezi kutoka kwai mwisho kutoka kwao ni SAA 12 jioni.Mungu sio mzee mkumba Jana nimekutana nae katika grocery moja mida ya SAA 4 usiku akiwa na majamaa 2.Badaye namuuliza ananiambia ni marafiki zake kwa kweli nilihisi kuzimia mwili wote ulikosa nguvu ,Leo siku nzima sijalala kwa kweli.
Bado hajarudi?Mmoja mkuu
Next time unapoambiwa nimeitwa nyumbani mwambie aliekuita ndio akuoigie simu akuombee ruhusa na akuoe sababu ya kutaka mkeo aende kwao.
Pia akifika huko aendako walioko nae wakupe mrejesho.
Kuna mmoja aliaga anaenda Mwanza kutoka Dar kumbe yupo hapo Victoria kwenye jengo refu kama unaenda Kairuki hospital anagongwa na wanaigeria for seven days.
Wakware wakamuona na nakumpa jamaa taarifa na ukweli ndoa iliishia hapo. Hivyo kwa hali ya sasa verifications muhimu.
Upo tayari kumuacha ukigundua ameliwa?Nipo kazini jion nikirud atakuwa kasharud ndo nitapambana nae
Hapo kabla ya kuanza kutafakali la mkeo
Hebu tuanze kukutafakali wewe!
Mwanamke hafanyi tu bila ya reflection ya mume wake
Wewe na yeye nani mkuu wa kaya?
Ok uliwasiliana na dada yake?
Inakuaje dada yake aongee na mdogo wake baada ya kuongea na wewe? Wewe si umeowa kwao?