Nina wasiwasi na mke wangu...

Nikweli walikuwa na shida nae lakini nahsi kaka hiyo safari kuna kitu pia ukiachana na kwenda kwa dadazake
Amini ninachokuambia huyo itakuwa kweli aliitwa ila hapo dodoma ndo alikuwa na mishe zake na uchafu wote alifanyia dodoma,
 
Kwani nyie makazi yenu ni wapi ilitujue sababu za yeye kulala dodoma kwa kukosa usafiri. ila nawewe ni kinyembe kweli alipokuambia kafika singida kwa dada zake kwanini usinge wasalimia dadazake kama wako naye home

Nilihakikisha hilo kuwa kafika lakini shida iko hapo Dodoma ndo nina wasiwasi
 
Duh nasoma hadi nalia kwa hasira, bro huu uzi labda kama umeamua kuchangamsha jukwaa ila kama ni kweli umekosea sana ..huyo mimi ningemuua kbs
 

Shukrani mkuu nimekuelewa
 
Unapotaka kumfuatilia mwanamke hakikisha una uwezo na moyo wa kumuacha, kama huwezi achana na hiyo biashara Fanya mambo yako tu.

Sawa kiongoz
 
Ungemwambia naomba niongee na dada zako waliokuita , inamana umeoa ufahamiani hata na ndugu zake
 

Na shukuru kwa kuelewa nini nimeandika
Asantee mkuu
 
Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Dada zake walipaswa kukupigia wewe kuomba ruhusa mdogo wao aende. Na akifika ujue ni kweli yuko na dada zake. Otherwise binafsi nakuona hauko imara, unapigiwa kizembe sana.
 
Ndo ubaya wa mwanaume kutaka msaada wa mwanamke badala ya yeye awe dependant kwako
 
Usioe,usioe tena usioe ili kuhepukana na Mambo Kama haya. Ona Sasa Mimi nimekaa kwa amani kabisa ila huyu bwana muda huu anateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…