Nina wasiwasi na mke wangu...

Nina wasiwasi na mke wangu...

Mimi kuna siku nimechungulia simu ya shemeji yenu nikakuta message eti anaomba ruhusa ofisini kwamba awqhi kutoka kwamba kuna mahali anaenda na Mr yaani na mimi, then wala sikujulishwa wala sikuwa na ratiba ya kwenda nae mahali.
Viumbe walioamua kumpa shetani aongoze maisha yao ni kukaa nao mbali kabisa Kisaikolojia.
Kwa hiyo alienda kusukumiwa mb oo?
 
Ule muda aliokuwa anasema yuko Singida ulitakiwa kuwapigia nduguze hao waliomwita halafu kuwauliza vipi mgeni kafika salama ? Ingekuwa ni kweli wangesema ndio kafika salama halafu unawaomba wampatie simu huyo mgeni uongee naye manake unajifanya kila ukimpigia humpati.. Ukiona taarifa ni za kweli , unajifanya nimepatwa na wasiwasi sana labda kuna jambo baya limetokea nyumbani mpaka hapo utakuwa umeshapata 80% ya movie.
ila ukisikia tu mgeni gani ? Ujue ndo hivyo tena !
Akili hiyo hakuwa nayo kwa wakati huo
 
Kwahyo ata alivyofk hujaongea na ndugu wa dom au Zanzibar

Hajakup muda wa kusalimia, mwambie abeb asali na mafut ya alzet
 
Habar wana JF,
Naimani mko wazima.

Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.

Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.

Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.

Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.

Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.

Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.

Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.

Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.

Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.

Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.

Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.

Wanaume tupo wachache sana! Naona mwanamke anajua ulivyo legevu mpaka anafanya anavyoona yeye ni sawa!
 
Mtoa uzi pole sana ila unaonekana huwa huna authority ndani ya nyumba yako, ni type ya wanaume wanaoendeshwa na wanawake.

Hivi dada zake walishindwa kukupigia simu ww kukwambia kuwa wanamuhitaji mdogo wao kwa siku kadhaa na ni lazima wakupe taarifa kuwa wanamuhitaji kwa lipi?!

Inaonekana huyo binti wa kinyaturu/kinyiramba amekutawala mno ila sishangai kwasababu wanawake wa mkoa wa singida hupenda kuwa juu ya waume zao.

Pole sana.
 
K
Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Kwann hao mashemeji hawakukupigia simu kukuomba ruhusa mkuu wa kaya?!
 
Habar wana JF,
Naimani mko wazima.

Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.

Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.

Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.

Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.

Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.

Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.

Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.

Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.

Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.

Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.

Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Mkeo amekupanda kichawani, ama ana kazi nzuri kuliko wewe, pengine elimu yako ni ndogo kuliko yeye au pesa anazo kukushinda wewe. Hana maamuzi kama mwanaume ndani ya familia kifupi unabiruzwa na mkeo.

Be a man kataa upumbavu upumbavu kama huo ndani ya familia mwanamke anapangaje safari kinamna hiyo na wewe unakubali kubali tu.
 
Kwa hiyo alienda kusukumiwa mb oo?
Anajua mwenyewe,mwili wake mbususu yake,ananyonyesha bado .Nilishajiapia siwezi jipa stress na maana shetani hajawahi Acha kuwadanganya hadi kesho.
 
E bana wife kasharudisha kiporo baada ya kugongwa.
Tupe maneno
 
Dah!!! ,[emoji1][emoji1] wamejua kukujaza upepo umu ndani. Nahisi akirudi unaweza kuua Mana si kwa hasira ulizojazwa [emoji2960]. ..ushauri ni bure Ila akili ni kumkichwa....vya kuambiwa changanya na mawazo yako....

Chonde chonde, punguza jazba...usije ukachukua maamuzi magumu, jela hautakuwa na mtu humu, utapambana mwenyewe [emoji23][emoji23].....kuwa na hekima tafadhali.
Utaharibu movie sasa joa😆🤣🤣
 
Habar wana JF,
Naimani mko wazima.

Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.

Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.

Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.

Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.

Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.

Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.

Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.

Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.

Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.

Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.

Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Yani pia alivokwambia kakosa gari unakuta Yuko zake Dom sa nyingi sana anasubiri kesho ndo akwambie anashuka Dom hapo kashalala siku nzima

Nakumbuka nishawahi lala na mke wa mtu hivi hivi alienda kikazi sehemu wangekaa 3days ..ila akaomba ruhusa anajisikia vibaya hivo atangulie kuwaacha siku moja kabla me akapitia geto akalala kesho yake kaenda kwake kuwa ndo wamerudi🤔 jamaa ake sidhani Kama aliwahi kujua yule mwanamke anaeza mfanyia vile

Nawaogopa sana hawa viumbe
 
Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Nyie mnadate au mmeoana ?

Mke ukishamuweka ndani Yuko juu yako hakuna Cha ndugu Wal mavi ya ndugu ,, ndo Mana anatumia ubini wako
 
Ila uache uzwazwa, wana shida na mkeo wwakupigie wewe kumuombea ruhusa,safari ya kindezi kama hizo kwako full stop.
Au akirudi amuulize kimafumbo kumuonesha Kama kugundua kitu like

Haya hicho ndo nafsi yako ilikuwa inataka ndo irdhike, Kama bado nikupende nauli Tena uende dom
 
mkuu kwanza nakuomba muulize haya mswali kisha naomba feedback akikujibu usisahau.
1: muombe tiketi zote alizo panda kwenda huko kuja na kuondoka angalia na mda alio safiri kama ni kweli au laaaaaa

2: wakati unaongea nae omba namba za dada yake mmoja au wawili wapigie kwa kutumia number yako waulize maswali ya trick kujua kama kweli alifika au laaaa

3: kama ikiwezekana na omba hiyo number ya ndugu yake alie kutana nae dodoma

🤣🤣🤣
Ticket ataona unazingua,

Nakumbuka Kuna manzi mmoja aliwahi nidanganya Yuko sehemu flani anakuja ....kumbe Yuko mjini naona kafikia sehemu siku moja au mbili kabla kesho yake ananambia ndo anatoka mkoa X namuuliza bus gani hajui anasema Mara jekundu .

Unfortunately mabus nayajua vizuri nikamwambia mbna hamnaga bus jekundu hii njia akanambia kwani unajua mabus yote nikamwambia of course, Mara akanitajia kampuni X hapa naona aliulizia kwa mtu , Napo nikamjibu ni lipi umepanda akasema la kwanza, nikamuuliza kwa hio Hilo bus ni jekundu unavoona? Akajibu nilichanganya rangi, nikampa kazi ndogo anitajieherufi za gari kwenye plate ..like DPM,DJS,DPK

Hii sector alishindwa et haoni 😁 kituko location Kuna sehemu alinambia yupo after 1hr anasema kafika sehemu flani ambapo Kuna 167km Sasa wako na bus 1hr nikaona napigwa hapa, kidogo kafika ananukia kaoga vizuri naona Yani alivo ni hakupanda bus siku hio ni kwamba alikuwa town Tu analiwa sehemu
 
Kuna vitu viwili hapa , hii ni chai umeamua tu kuchangamsha jukwaa au huyo kakuzidi kipato.
 
Back
Top Bottom