Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila mke anatumia ubini wa mumeNyie mnadate au mmeoana ?
Mke ukishamuweka ndani Yuko juu yako hakuna Cha ndugu Wal mavi ya ndugu ,, ndo Mana anatumia ubini wako
Hatutaki masiharaWanaume wote wa jf wana authority kwa wake zao kasoro huyu mwamba.
Yaani wake zao hawaendi kwao bila mtu wa kwao kumuomba ruhusa mume🤣🤣🤣🤣. Mpo vizuri.
kwanini dada zake wasikupigie wewe mwenye mke ili utoe ruhusa au vinginevyo, au mkeo ndiyo mkuu wa kaya yako?Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Nawaona nawaona😀Hatutaki masihara
Mkuu nakusikiliza toa uzoefu wako. Inawezekana huyu jamaa amechapiwa!!??pole mkuu
Mkuu nakusikiliza toa uzoefu wako. Inawezekana huyu jamaa amechapiwa!!??
Wa mchanganuo wa mambouzoefu wangu upi?
Wa mchanganuo wa mambo
Sitaki kuamini kama kweli wewe ni mwanaume. Mwanaume uliyeoa kwa hiari yako na unafahamu maana ya mwanaume kichwa cha familia usingethubutu hata kuandika ulichoandika ni aibu.Habar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
🤣🤣Unaroho mbaya mkuuAtakuwa anafundishwa staili mpya ya mnyanduo mkuu
Dah we acha tu kuna demu alishawahi kuongea na bwana ake kuwa yupo kikazi mkoani kumbe yupo zake gesti tena kakalia mlingoti wa chuma...hivi viumbe ni vya kuviogopa aisee, vikiamua kukusaundisha huwezi kuchomoka. Kikubwa tuishi nao kwa akili. Unaweza kumchunga asitoke na bado akamleta bwana ake humo humo ndani mwako wakati upo kazini na akagegedwa!!Yani pia alivokwambia kakosa gari unakuta Yuko zake Dom sa nyingi sana anasubiri kesho ndo akwambie anashuka Dom hapo kashalala siku nzima
Nakumbuka nishawahi lala na mke wa mtu hivi hivi alienda kikazi sehemu wangekaa 3days ..ila akaomba ruhusa anajisikia vibaya hivo atangulie kuwaacha siku moja kabla me akapitia geto akalala kesho yake kaenda kwake kuwa ndo wamerudi🤔 jamaa ake sidhani Kama aliwahi kujua yule mwanamke anaeza mfanyia vile
Nawaogopa sana hawa viumbe