Nina wasiwasi na mke wangu...

Hawawezi kukuelewa wanaendekeza ubabe, Acha yawakute yanayowakuta.
 
Hawawezi kukuelewa wanaendekeza ubabe, Acha yawakute yanayowakuta.
Mbaya sana mwanamke uliye nae kwenye mahusiano/umemuoa awe alishapita na mtu ambaye aliwahi kumkuna kisawasawa kabla ya kukutana nawe!!

Ukiwa mchovu mchovu jua imekula kwako lazima amtafute Ex-wake tu akajitoe shombo analopakwapakwa.
 
Mbaya sana mwanamke uliye nae kwenye mahusiano/umemuoa awe alishapita na mtu ambaye aliwahi kumkuna kisawasawa kabla ya kukutana nawe!!

Ukiwa mchovu mchovu jua imekula kwako lazima amtafute Ex-wake tu akajitoe shombo analopakwapakwa.
Na hawataki kutafuta source ya tatizo. Watasisitiza tu kuwa mwanamke ni malaya bila kutaka kujua imekuaje akawa hivyo.
 
Mkuu Wala usiangaike akija chukua simu yake then ingia Google map kama ni smart phone itaonyesha sehemu na miji yote aliyo pita ndani ya siku za nyuma apo ndio kikao kianze
Simple and clear
Mkuu nipe maelekezo kidg namna ya kufaham hi google map
 
Kuitwa sawa, ilikua abadili siku ya kwenda. Umeonyesha udhaifu kubwa kusimamia majukumu yako.
 
Reactions: Ccc
Hii concept ya umiliki ndo ya kuachana nayo ibaki ndoa kama mapenzi baina ya watu wawili ambayo yanaweza kuisha. Vitu vinavyomilikiwa ni vitu visivyo na utambuzi au vyenye akili ndogo mfano shati, gari, kuku, bata, punda.

Faida ya ndoa ni mapenzi na malezi ya uzao wako chini ya familia moja baasi mengine ni nadharia tunazoishi nazo kinafiki.

Mkeo Akipeleka uke wake sehemu tofauti kuumia hakukwepeki ila kiwango kitategemeana na huo umiliki uliojipa wa kusadikika.

Mwanangu wa kike akiwa malaya ni mwanangu. Yeye kuwa mwanangu haifuti umalaya wake likini ni mwanangu na sitamkana, nitakuwa sehemu ya aibu yake sababu ni mwanangu.
 
Dadeki.... Hakuanza kuhema juujuu!!!
Wala hata hapajui kwangu,, ..pia alimtoa kwangu baada ya kugombana akamuweka ndani yeye akijua kanichukulia manzi ila nikawa najipigia navotaka tu ...😁 Kuna kipindi tunagombana eti kisa nimekataa mgonga😁 na ameolewa analilia machine 😀
 
Kwa comments hzi kama upo ndani mwenyewe bora utoke nje unaweza jidhuru buree ukaacha dunia yenye raha zake.
 
MTOA MADA UMEPOTELEA WAPI ISIJEKUA USHAJIPIGA SHABA KAMA YULE JAMAA WA MWANZA
Labda atakuwa anamfulia nguo bibie, si unajua tena ametoka safari na nguo zitakuwa zimechafuka. Pia kuacha mbususu ya bure si kazi rahisi.
 
Umefanya kosa kubwa sana ungejibu mapigo yaani aliporudi tu safarini na wewe ukamwambia kuna safari ya dharura nimepata na natakiwa kuondoka leoleo bila kupoteza muda na hatakama huna demu mahali basi unaenda tu kulala gesti cku tatu kutuliza akili yako
 
Ungekuwa unamchunguza usingekuja kutafuta maoni hewa humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…