azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
Kaipeleka papuchi ikaliwe dom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kukuelewa wanaendekeza ubabe, Acha yawakute yanayowakuta.Jamani ndugu zangu wanaume tujitahidi sana kuvikojoza hivi viumbe huko majumbani. Believe me kama kitandani humkuni kipele chake sawasawa kikaisha muwasho ni lazima atafute mtu wa kwenda kumkuna kipele chake . Wanawake huwa hawawezi kuwavumilia wanaume ambao hawawakuni barabbara!! Hata kama umpe mali kiasi gani ,au uwe mtanashati kiasi gani, kama kitandani huna maajabu jua kuwa lazima atatafuta mwingine tu.
Wanawake wengine wana tabia ya kuwapimia mapenzi wenza wao ambao hawawaridhishi, unakuta hajitumi kitandani maana anajua ataupa mwili joto halafu ww mwanaume ushindwe kumkuna kisawasawa ila wakitoka huko nje ni hatari wanakuwa kama wanawali waliotoka unyagoni.
Nishashuhudia mwanamke akilalamika kuwa mweza wake anampaka shombo tu, hana skills zozote kitandani na akishamwaga wazungu tu moto unakuwa unekata wakati mwanamke ndio kwanza anataka akunwe.
Mbaya sana mwanamke uliye nae kwenye mahusiano/umemuoa awe alishapita na mtu ambaye aliwahi kumkuna kisawasawa kabla ya kukutana nawe!!Hawawezi kukuelewa wanaendekeza ubabe, Acha yawakute yanayowakuta.
Na hawataki kutafuta source ya tatizo. Watasisitiza tu kuwa mwanamke ni malaya bila kutaka kujua imekuaje akawa hivyo.Mbaya sana mwanamke uliye nae kwenye mahusiano/umemuoa awe alishapita na mtu ambaye aliwahi kumkuna kisawasawa kabla ya kukutana nawe!!
Ukiwa mchovu mchovu jua imekula kwako lazima amtafute Ex-wake tu akajitoe shombo analopakwapakwa.
Mkuu nipe maelekezo kidg namna ya kufaham hi google mapMkuu Wala usiangaike akija chukua simu yake then ingia Google map kama ni smart phone itaonyesha sehemu na miji yote aliyo pita ndani ya siku za nyuma apo ndio kikao kianze
Simple and clear
Kuitwa sawa, ilikua abadili siku ya kwenda. Umeonyesha udhaifu kubwa kusimamia majukumu yako.Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Hii concept ya umiliki ndo ya kuachana nayo ibaki ndoa kama mapenzi baina ya watu wawili ambayo yanaweza kuisha. Vitu vinavyomilikiwa ni vitu visivyo na utambuzi au vyenye akili ndogo mfano shati, gari, kuku, bata, punda.Hii ifanye imeshapita kubali matokeo kuwa ni 3-0 ila nikufundishe kitu, muonja asali huwa haonji mara moja, atarejea tena kukuomba ruhusa kama hiyo wakati mwingine.
NINI UFANYE?
Mruhusu aende kwao wala usioneshe kuwa umestuka au una wasiwasi wowote, akiondoka kama Dar alfajiri basi saa 12 jioni atakuwa kashaingia Singida. Msubiri saa 1 usiku hv ...mpigie simu uongee nae halafu mwambie amkabidhi simu dada yake au ndugu zake waliopo hapo usalimiane nao kwa kupitia simu yake....au wapigie simu shemeji zako uongee nao halafu waambie kuwa wamkabidhi simu ndugu yao maana umemtafuta humpati.Ukiweza kuongea nae utajua kuwa yupo kweli singida kama hujampata jua kuwa hayupo hapo
Keywords: Lake,chake, wake
Umiliki!!! Malaya akigongwa haiwezi kukuuma kwasababu hummiliki ila kwa mkeo lazima ikuume kwasababu umemtolea mahari na unammiliki. Sawa na mwanao wa kike ukiwa unamuona masela wa kitaa wanajigongea tu bila ya kuolewa, je utamchukulia kuwa ni kama malaya wengine tu??
Vipi mrejesho upo? Au umepigwa KO?Nikweli mkuu upo sahihi ngoja arud kwanza tucheze game letu mlilo shauri
Inabidi tuoe mabikiraNa hawataki kutafuta source ya tatizo. Watasisitiza tu kuwa mwanamke ni malaya bila kutaka kujua imekuaje akawa hivyo.
Itapendeza. Tatizo hamna ubavu huoInabidi tuoe mabikira
Kama wa mama akoUna umri gani?
Wala hata hapajui kwangu,, ..pia alimtoa kwangu baada ya kugombana akamuweka ndani yeye akijua kanichukulia manzi ila nikawa najipigia navotaka tu ...😁 Kuna kipindi tunagombana eti kisa nimekataa mgonga😁 na ameolewa analilia machine 😀Dadeki.... Hakuanza kuhema juujuu!!!
Labda atakuwa anamfulia nguo bibie, si unajua tena ametoka safari na nguo zitakuwa zimechafuka. Pia kuacha mbususu ya bure si kazi rahisi.MTOA MADA UMEPOTELEA WAPI ISIJEKUA USHAJIPIGA SHABA KAMA YULE JAMAA WA MWANZA
Umefanya kosa kubwa sana ungejibu mapigo yaani aliporudi tu safarini na wewe ukamwambia kuna safari ya dharura nimepata na natakiwa kuondoka leoleo bila kupoteza muda na hatakama huna demu mahali basi unaenda tu kulala gesti cku tatu kutuliza akili yakoHabar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Ungekuwa unamchunguza usingekuja kutafuta maoni hewa humu ndani.Habar wana JF,