Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
KweliHawa ni wale wa sogea tuishi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliHawa ni wale wa sogea tuishi mkuu.
Wewe ni mwanaume mkuu head of the family!! You rule! You order Kama kiongozi wa familia inatakiwa uwe na sautiii inapobidi ukalii make wanawake akili zetu tunazijua wenyewe!
Hapo inaonesha kabisa mkeo kakupanda kichwani! Na anakuchukulia poa sanaa!!
Sasa ndugu yangu kama mkeo mbona ndugu zake wanamchukulia kama anaishi na muhuni fulani how come kwa dharula hivyo usipewe taarifa wewe kwamba mkeo anahitajika na kama kuna tatizo, kwa maana wewe ndiyo mkuu wa kaya na unajua kama nauli ipo au haipo wewe ndiyo unapaswa kumsuport kwa kujua wapi upate pesa ya fasta, isije kuwa mkeo kakuzoea sana anaona hauna maamuzi yoyote juu yake.
Kutokana na makosa yako me naona uyo mwanamke usimuulize chochote tena mpokee kwa furaha na pole nyingi za safari
Kwa akiri yako ata ukisema umuache uyo mwanamke bado utapata mwingine nae utamuacha
Chakufanya ni wew kwanza kubadirika ujue unatakiwa kuishi nao vipi hawa viumbe maana naona ujui kuishi na mwanamke
Note: utakuwa umekosea sana kumuuliza mkeo kusiana na safari yake Kama ambavyo ukuona umuhimu wa kumuuliza kabla ajaondoka basi usione umuhimu wa kumuuliza atakaporejea
Wewe ndo unamakosa wew ndo dereva kwake wew ndo mlizi kwake wew ndo una mamlaka kwake ata akipata tatizo familia itakuoji wew
Huyo mwanamke anakuogopa sana mkuu, msamehe tu, Katumia nguvu nyingi kuweka mazingira ya kutopata kesi yoyote kumbe ndo kajisukia kesi kwa kusema nalala Dom.
Cha Kufanya Ningekua mimi.
Kwa vile ni mke wangu na sijapanga kumuacha bado.
Nitanunua bangi za kutosha, nitatafuta na misosi ya kuamshia dude vizuri.
Nitaichakata Papuchi yake kutwa mala nne na kuoga itakua mala nne kwa siku, kwa siku 3 au 4 hivi Mfululizo.
Sharti ni moja hakuna kusema nimechoka, na atajuta kwenda Dodoma[emoji2][emoji2]
Hapo kwako mwenye maamuzi ni mke au mume, maana ninavyojua jambo lolote likitokea upande wa mkeo lazima wakujulishe ww mume kwanza, vinginevyo kuna shida hapoHabar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Act as a man sasa atakupanda kichwani shauri yako!!Yeah inawezekana mkuu ananichukia powa