Nina wasiwasi na mke wangu...

Nina wasiwasi na mke wangu...

Kila mara unasema mpka utoke kazini, mkuu, aga kazini sasa hv rudi maskani kajiandae kivita. Akirudi akukute chao kwa haraka
 
Wewe ni mwanaume mkuu head of the family!! You rule! You order Kama kiongozi wa familia inatakiwa uwe na sautiii inapobidi ukalii make wanawake akili zetu tunazijua wenyewe!
Hapo inaonesha kabisa mkeo kakupanda kichwani! Na anakuchukulia poa sanaa!!

Yeah inawezekana mkuu ananichukia powa
 
akirudi mkague kwa :

1. kumpigisha kichura, kama kagongwa kavu na jamaa kamwaga ndani basi semen zitatoka

2. kumcheki K kwa michubuko , kama jamaa alikamia

3. kumcheki tundu ya nyuma kama kabang iko sawa
 
Sasa ndugu yangu kama mkeo mbona ndugu zake wanamchukulia kama anaishi na muhuni fulani how come kwa dharula hivyo usipewe taarifa wewe kwamba mkeo anahitajika na kama kuna tatizo, kwa maana wewe ndiyo mkuu wa kaya na unajua kama nauli ipo au haipo wewe ndiyo unapaswa kumsuport kwa kujua wapi upate pesa ya fasta, isije kuwa mkeo kakuzoea sana anaona hauna maamuzi yoyote juu yake.

Daah sawa mkuu nimekuelewa
 
Huyo mwanamke anakuogopa sana mkuu, msamehe tu, Katumia nguvu nyingi kuweka mazingira ya kutopata kesi yoyote kumbe ndo kajisukia kesi kwa kusema nalala Dom.

Cha Kufanya Ningekua mimi.
Kwa vile ni mke wangu na sijapanga kumuacha bado.
Nitanunua bangi za kutosha, nitatafuta na misosi ya kuamshia dude vizuri.

Nitaichakata Papuchi yake kutwa mala nne na kuoga itakua mala nne kwa siku, kwa siku 3 au 4 hivi Mfululizo.

Sharti ni moja hakuna kusema nimechoka, na atajuta kwenda Dodoma😃😃
 
Kutokana na makosa yako me naona uyo mwanamke usimuulize chochote tena mpokee kwa furaha na pole nyingi za safari

Kwa akiri yako ata ukisema umuache uyo mwanamke bado utapata mwingine nae utamuacha

Chakufanya ni wew kwanza kubadirika ujue unatakiwa kuishi nao vipi hawa viumbe maana naona ujui kuishi na mwanamke

Note: utakuwa umekosea sana kumuuliza mkeo kusiana na safari yake Kama ambavyo ukuona umuhimu wa kumuuliza kabla ajaondoka basi usione umuhimu wa kumuuliza atakaporejea

Wewe ndo unamakosa wew ndo dereva kwake wew ndo mlizi kwake wew ndo una mamlaka kwake ata akipata tatizo familia itakuoji wew

Sawa kiongoz nimekuelewa
 
Kila mara unasema mpka utoke kazini, mkuu, aga kazini sasa hv rudi maskani kajiandae kivita. Akirudi akukute chao kwa haraka

Ndo nataka nifanye hivyo nitoke mkuu
 
akirudi mkague kwa :

1. kumpigisha kichura, kama kagongwa kavu na jamaa kamwaga ndani basi semen zitatoka

2. kumcheki K kwa michubuko , kama jamaa alikamia

3. kumcheki tundu ya nyuma kama kabang iko sawa

Duuh sawa mkuu nimekuelewa
 
Huyo mwanamke anakuogopa sana mkuu, msamehe tu, Katumia nguvu nyingi kuweka mazingira ya kutopata kesi yoyote kumbe ndo kajisukia kesi kwa kusema nalala Dom.

Cha Kufanya Ningekua mimi.
Kwa vile ni mke wangu na sijapanga kumuacha bado.
Nitanunua bangi za kutosha, nitatafuta na misosi ya kuamshia dude vizuri.

Nitaichakata Papuchi yake kutwa mala nne na kuoga itakua mala nne kwa siku, kwa siku 3 au 4 hivi Mfululizo.

Sharti ni moja hakuna kusema nimechoka, na atajuta kwenda Dodoma[emoji2][emoji2]

Nikweli mkuu upo sahihi ngoja arud kwanza tucheze game letu mlilo shauri
 
Habar wana JF,
Naimani mko wazima.

Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.

Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.

Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.

Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.

Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.

Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.

Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.

Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.

Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.

Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.

Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Hapo kwako mwenye maamuzi ni mke au mume, maana ninavyojua jambo lolote likitokea upande wa mkeo lazima wakujulishe ww mume kwanza, vinginevyo kuna shida hapo
 
Back
Top Bottom