Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyu ni member wa 7 nafananishwa nayeuna uhusiano na HR666
Una uhakika??Nilisema huyu ni HR 666 naona naanza kuaamni
Yeah nipo tayar kwani ile id yako ya yeezus si hsuitumii kisa tulisha ifahamUna uhakika??
Tuwaite moderators wathibitishe?
Kama sio je ? Upo tayali kupewa ban kwa kumzushia uongo member mwenzako?
hr naskia tunaundugu wamawazo mkuu.... nafurahi kukufahamu mkuuUna uhakika??
Tuwaite moderators wathibitishe?
Kama sio je ? Upo tayali kupewa ban kwa kumzushia uongo member mwenzako?
mkuu mon nakuhakikishia mimi si hr unajua wakati flan vichwa vinafanana labda huyu hr tumetoka mtaa mmoja kule ComptonYeah nipo tayar kwani ile id yako ya yeezus si hsuitumii kisa tulisha ifaham
nakukubali sana mkuuMkuuu mwambie2 wife ukwel juu ya jamb hilo mkuu
nilibarehe mapema sana mkuuIla kaka kwa miaka uliyoitaja hapo mbona yaonekana dhahiri mwaka 1999 ulikua na miaka 11???[emoji15] [emoji15]
Ok Ila angalia usiwe Kama huyo jamaa utsdharaulika kama yymkuu mon nakuhakikishia mimi si hr unajua wakati flan vichwa vinafanana labda huyu hr tumetoka mtaa mmoja kule Compton
anatatzo gan huyo mkuuOk Ila angalia usiwe Kama huyo jamaa utsdharaulika kama yy
Fanya oa tasawadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo nigeria,watatu kenya,wawili uganda.na kumi wengine hapa jijini dar.mimi nina mika 29.tatizo nataka kuoa mwezi wa12 nashindwa jinsi ya kumwambia wife siri hii ambae tayari nishamvisha pete.nishaurin mana watt wanataka kuja kunitembelea arusha napokaa.
OK poa lkn daaaanakukubali sana mkuu
Hebu angalia coments za watu uone wanakuchukuliaje, mm naona wanaaanza kukudharau ajili ya post zako mkuu.. Hakuna mtu aliyejishusha heshima mwenyewe kama HR 666 na wote humu tulishaona dish lake limecheza, so angalia usifike hatua hiyo.. Hebu pitia comments za watu uone wanakuchukuliajeanatatzo gan huyo mkuu
Haahaaaa kasim mgangaHiy ni kz ten kzkubwa xan mkuu daaa
nimekupata vyema kabsa mkuu japo kwann nawadharau pia wanaonichukulia serious humu ni sababu humu jf mtu akiamua kichaa muache it dsnt mean ni kichaa kweli sababu hujui id yake halisi,wengine tupo humu kufurahisha genge tu na kujifurahisha basi but our actually life ni tofauti kabsa na huwez hata kuguess who i am.as long as simdhuru mtu kwann usikae kimya,ukiona post km huwez kwenda nayo ukaicha.sanyngne mtu anaona kabsa hiki kitu si halisi alafu anakuja kubwabwaja kama halis ni utoto,inakua km kwenye page ya eatv fb kule uneducated wengi,mtu analetewa swali tu la kubuni la mtu anaomba ushauri,yy anatoa povu mpaka matusi,wtf? watu wanaojua whats happening huwa hawajisumbui kabsa......so hawa watu lazma waelimike pia.thats y kwa jinsi navojiweka sitaki hata kumsumbua mtu pm wala nini mimi kaz yangu ni kunifunza,kuburudika,kuchangia mawazo ya msingi na yasiyo na msingi inapobid.....mbona ize tu kuelewa.....anyway wacha tutulie labda tutazame upuuzi wao tuige huo[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hebu angalia coments za watu uone wanakuchukuliaje, mm naona wanaaanza kukudharau ajili ya post zako mkuu.. Hakuna mtu aliyejishusha heshima mwenyewe kama HR 666 na wote humu tulishaona dish lake limecheza, so angalia usifike hatua hiyo.. Hebu pitia comments za watu uone wanakuchukuliaje
Good kabisa, ila ndio kila mtu ana tafsiri zake mkuu ok hiyo ni style uliyoamua kua nayo humu jf ww ndio muamuz kama utaona ubadilishe aunimekupata vyema kabsa mkuu japo kwann nawadharau pia wanaonichukulia serious humu ni sababu humu jf mtu akiamua kichaa muache it dsnt mean ni kichaa kweli sababu hujui id yake halisi,wengine tupo humu kufurahisha genge tu na kujifurahisha basi but our actually life ni tofauti kabsa na huwez hata kuguess who i am.as long as simdhuru mtu kwann usikae kimya,ukiona post km huwez kwenda nayo ukaicha.sanyngne mtu anaona kabsa hiki kitu si halisi alafu anakuja kubwabwaja kama halis ni utoto,inakua km kwenye page ya eatv fb kule uneducated wengi,mtu analetewa swali tu la kubuni la mtu anaomba ushauri,yy anatoa povu mpaka matusi,wtf? watu wanaojua whats happening huwa hawajisumbui kabsa......so hawa watu lazma waelimike pia.thats y kwa jinsi navojiweka sitaki hata kumsumbua mtu pm wala nini mimi kaz yangu ni kunifunza,kuburudika,kuchangia mawazo ya msingi na yasiyo na msingi inapobid.....mbona ize tu kuelewa.....anyway wacha tutulie labda tutazame upuuzi wao tuige huo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mmmhhh!!Sasa kama unatembea na mademu 50 utaacha kua na watoto 30
Btw uko likizo nn?? Mana sio kwa story zako hzi za kitoto