nimekupata vyema kabsa mkuu japo kwann nawadharau pia wanaonichukulia serious humu ni sababu humu jf mtu akiamua kichaa muache it dsnt mean ni kichaa kweli sababu hujui id yake halisi,wengine tupo humu kufurahisha genge tu na kujifurahisha basi but our actually life ni tofauti kabsa na huwez hata kuguess who i am.as long as simdhuru mtu kwann usikae kimya,ukiona post km huwez kwenda nayo ukaicha.sanyngne mtu anaona kabsa hiki kitu si halisi alafu anakuja kubwabwaja kama halis ni utoto,inakua km kwenye page ya eatv fb kule uneducated wengi,mtu analetewa swali tu la kubuni la mtu anaomba ushauri,yy anatoa povu mpaka matusi,wtf? watu wanaojua whats happening huwa hawajisumbui kabsa......so hawa watu lazma waelimike pia.thats y kwa jinsi navojiweka sitaki hata kumsumbua mtu pm wala nini mimi kaz yangu ni kunifunza,kuburudika,kuchangia mawazo ya msingi na yasiyo na msingi inapobid.....mbona ize tu kuelewa.....anyway wacha tutulie labda tutazame upuuzi wao tuige huo[emoji124] [emoji124] [emoji124]